Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
ccm wanajidanganya sana kwa hili. Na piga ua hawa jamaa hawataki kabisa kusikia majimbo ya vijijini yanaenda upinzani. Ila ngoja tu hawataamini siku mojaKuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa.
Eti eeh. Tena Lisu ni kibaraka wa mabeberuLissu hata hawezi kufikia kura atakazopata Membe.
Lissu huyu anayepiga kampeni sokoni baada ya watu kupuzia mikutano yao.[emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu aliyesema kuna watu hawatakiwi kusurvive unamuita mchamungu? Acha masihara na Mungu bhanaaLissu hata hawezi kufikia kura atakazopata Membe.
Lissu huyu anayepiga kampeni sokoni baada ya watu kupuzia mikutano yao.[emoji3][emoji3][emoji3]
Hizo pesa za kulisha nchi nzima LOWASSA angetoa wapi ndugu yangu? Unaongelea upupu kabisaMajiji upinzani ni watu wapenda pesa ndio maana Lowasa Ali win their hearts. UKIENDA Baa zote Dar,Arusha ,mbeya ,Moshi zilifurika timu Lowasa wakigawa pombe bure.Bodaboda walijaziwa mafuta nk .Lowasa alipanga list ya vyao nani atakuwa nani akishika serikali akashika wafanyakazi wengi serikalini na kuwaahidi vyeo na kuwa na wao wapange timu zao
Lisu ni empty handed anapepeta tu mdomo hana hata mia ya kuwapa wapambe wa Chadema mtaaani kwenye majiji wakumpigia debe
Ikulu haijawah kuongozwa kwa miaka 5Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa.
Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini?...
Atapita kwa njia ya kupigiwa kuraKuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa.
Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini?...
Tz hakujawahi kutokea mgombea aina ya Lissu. Usimfananisha na Mrema,Dr Slaa na LOWASSA wale walikua maafisa vipenyo wanajulikanaikulu ijawah kuongozwa kwa miaka 5
Lowasa alikuwa na pesa ya kuwahonga Lisu na Mbowe tu.Hizo pesa za kulisha nchi nzima LOWASSA angetoa wapi ndugu yangu? Unaongelea upupu kabisa
Ni kweli Tanzania hatujawahi kupata mgombea mropokaji km huyu, anayetumiwa na Mabeberu kuja kuiba raslimali zetu
Ndio maana amekutwa na mabalaa mengi
Kwani akishapiga kampeni ,akienda 'sokoni'' kupiga stori na wananchi nyie kipi kinawauma?Lissu hata hawezi kufikia kura atakazopata Membe.
Lissu huyu anayepiga kampeni sokoni baada ya watu kupuzia mikutano yao.[emoji3][emoji3][emoji3]
Duh 'beberu' basi 'anawashona' kisawasawa si mchezo! Kila Muda mnalitaja jina lake! [emoji16][emoji16]Anaenda sokon kupata picha za watu wengi amtumie robertison wa Amsterdam [emoji3]