kikwetu wanadai ukimkuta yupo zake ame relax ukaanza kumshambulia bila sababu utapata laana, na wanadai ukimjeruhi atatoa maziwa badala ya damu
ila akikamata mfugo, wewe piga ua
kuna siku tulimkuta ame ka tight kasuala tukamnyang'anya
kuna siku alikamata kondoo wetu akinywa maji mtoni akazama naye, mshua akaomaa akanyang'anya