Tetesi: Unajua nini kuhusu ngorongoro? Nani mkweli

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.

2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.

3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)

4. Kuna mwarabu anayaka kununua maeneo yote wanayo ishi wamasai kwa sababu maeneo hayo ni mazuri na yenye rutuba .

5. Serikali inayaka kuilinda ngorongoro kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Inawezekana raia pamoja naserikali yenyewe haielewi

Tamaa yapesa imetawala
 
5. Land based Carbon-tax credits. They (UAE) bought/leased land here so that they can offset their carbon emissions/footprints elsewhere
 
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.

2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.

3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)

4. Kuna mwarabu anayaka kununua maeneo yote wanayo ishi wamasai kwa sababu maeneo hayo ni mazuri na yenye rutuba .

5. Serikali inayaka kuilinda ngorongoro kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Wamasai kuondolewa Ngorongoro siyo tatizo, bali tatizo lililopo ni kwamba:-
1. Je, Sheria, Kanuni na taratibu za nchi zimefuatwa kwenye suala hili la kuwaondoa hao Wamasai????
2. Je, hao Wamasai wanaotakiwa kuondolewa haki zao stahiki ikiwemo Fidia tayari wamelipwa??
3. Je, ni KWELI kwamba suala hili la kuwahamisha hao Wamasai ni kutokana na sababu za maslahi ya umma (public interest) au ni kutokana na maslahi binafsi ya Watu wachache waliopo madarakani hivi sasa?????????

Hizi ndio Hoja za msingi kabisa za KUZINGATIWA wakati wote kuhusiana na suala hili.
 
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.

2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.

3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)

4. Kuna mwarabu anayaka kununua maeneo yote wanayo ishi wamasai kwa sababu maeneo hayo ni mazuri na yenye rutuba .

5. Serikali inayaka kuilinda ngorongoro kwa ajili ya vizazi vijavyo.
“Hatua ya kufuta vijiji na vitongoji ni hatua inayoenda mbali sana. Maana yake ni kwamba wananchi wahusika hawatakuwa na serikali zao za mitaa vijijini na vitongojini. Hii ni kinyume cha ibara ya 145 na 146 ya Katiba ambayo inazungumzia Madaraka ya Umma na kuweka Serikali za Mitaa. Kuwa na madaraka ngazi ya vijiji ni mosi, kuimarisha demokrasia ngazi za chini; pili kuwezesha wananchi waishio vijijini kushiriki katika utawala ambayo ni haki yao kwa mujibu wa ibara 21(1); na tatu, waishio katika eneo hilo kupata haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika Halmashauri zao kama wananchi wenzao waishio katika maeneo mengine. Kwa kuwa vijiji vimefutwa wananchi hao watakosa haki hizo. Kwa maneno mengine wamekuwa disenfranchised (Kuporwa haki). Jamani tunaelekea wapi? Nini lengo la kufanya hivyo? Je tuelewe vipi? Tuambiwe waziwazi kama jamii ya Kimaasai waishio Ngorongoro ni wananchi au wakimbizi wa ndani? Prof. Shivji

Maneno ya Mhadhiri Mwandamizi Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Profesa wa Sheria Profesa Issa Shivji kupitia mtandao wake wa X.
20240820_162254.jpg
 
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.

2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.

3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)

4. Kuna mwarabu anayaka kununua maeneo yote wanayo ishi wamasai kwa sababu maeneo hayo ni mazuri na yenye rutuba .

5. Serikali inayaka kuilinda ngorongoro kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Mkweli aliyeko site aliyeishi huko na hao wanyama for decades
 
Mjadala umekuwa na mvutano sana , siasa nyingi tatizo lenu mnapiga kelele wiki ijayo mtakuwa kimya . Wapi bandari ?
 
Back
Top Bottom