Wamasai kuondolewa Ngorongoro siyo tatizo, bali tatizo lililopo ni kwamba:-1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.
2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.
3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)
4. Kuna mwarabu anayaka kununua maeneo yote wanayo ishi wamasai kwa sababu maeneo hayo ni mazuri na yenye rutuba .
5. Serikali inayaka kuilinda ngorongoro kwa ajili ya vizazi vijavyo.
“Hatua ya kufuta vijiji na vitongoji ni hatua inayoenda mbali sana. Maana yake ni kwamba wananchi wahusika hawatakuwa na serikali zao za mitaa vijijini na vitongojini. Hii ni kinyume cha ibara ya 145 na 146 ya Katiba ambayo inazungumzia Madaraka ya Umma na kuweka Serikali za Mitaa. Kuwa na madaraka ngazi ya vijiji ni mosi, kuimarisha demokrasia ngazi za chini; pili kuwezesha wananchi waishio vijijini kushiriki katika utawala ambayo ni haki yao kwa mujibu wa ibara 21(1); na tatu, waishio katika eneo hilo kupata haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika Halmashauri zao kama wananchi wenzao waishio katika maeneo mengine. Kwa kuwa vijiji vimefutwa wananchi hao watakosa haki hizo. Kwa maneno mengine wamekuwa disenfranchised (Kuporwa haki). Jamani tunaelekea wapi? Nini lengo la kufanya hivyo? Je tuelewe vipi? Tuambiwe waziwazi kama jamii ya Kimaasai waishio Ngorongoro ni wananchi au wakimbizi wa ndani? Prof. Shivji1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.
2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.
3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)
4. Kuna mwarabu anayaka kununua maeneo yote wanayo ishi wamasai kwa sababu maeneo hayo ni mazuri na yenye rutuba .
5. Serikali inayaka kuilinda ngorongoro kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Mkweli aliyeko site aliyeishi huko na hao wanyama for decades1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.