Unajua nini kuhusu watu wanaovaa kofia hizi?

Napenda kuvaa kofia and I am very interesting person. Ila nachoweza kusema ukiwa umezoea kuvaa kofia sana siku ukivua watu mtaa mzima wanakushangaa kama ndo kwanza wanakuona 🤣 Halafu unakutana na mtu anakwambia umebadilika utadhani kuwa alishawahi kukuona bila kofia😄

Labda niseme tu napenda kuvaa kofia kwa sababu mwanga ukinipiga sana machoni huwa yananiuma. Kofia imekuwa sehemu ya personality yangu nikiwa sijavaa najiona kabisa kama sijavaa nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…