Katika maisha hakunaga nafasi ya kujuta. Wale waliokufurahisha ama kukusaidia wamekufunza umuhimu wa kuwa mtu mwema, waliokuumiza wamekufunza umuhimu wa kuwa mwangalifu na pia kutoumiza wengine.
Kukunwa na kucha nafahamu...sasa hii maana ninayoifahamu nikiiweka hapo haiji