Unajuta kumfahamu au? Tumbua jipu hapa

Unajuta kumfahamu au? Tumbua jipu hapa

Katika maisha hakunaga nafasi ya kujuta. Wale waliokufurahisha ama kukusaidia wamekufunza umuhimu wa kuwa mtu mwema, waliokuumiza wamekufunza umuhimu wa kuwa mwangalifu na pia kutoumiza wengine.

Mbona Kama unatufunga midomo?

Mada kama hizi za kichokozi zinahitaji wajukuu wenye vichwa kama komandoo!

ila kuna avatar ya mjukuu mmoja inanikera sana!

Nawapenda wajukuu wote.
 
Kuna watu wananikera kwa kupenda pesa sema wanamidomo haoooo. Ngoja nimezee tu ila sio poa wajierekebishe
Wewe Wataje tu, itakuwa umewasaidia wakiwaka sana waambie Dalalitz kanitumia,
kisha mimi nitamalizana nao.
 
Mbona Kama unatufunga midomo?

Mada kama hizi za kichokozi zinahitaji wajukuu wenye vichwa kama komandoo!

ila kuna avatar ya mjukuu mmoja inanikera sana!

Nawapenda wajukuu wote.
Mtaje huenda akarekebisha na kuufurahisha Mtima wako.
 
Back
Top Bottom