Hold on
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 482
- 1,126
Vipi?
Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia nyakati tofauti ambazo kwa wakati fulani tunazions sawa kufanya na kwa wakati fulani tunaona sio sawa
Leo nimekaa nimekutana na rafiki yangu wa shule ya sekondary nikakumbuka matukio yangu kiukweli yalikuwa ya aibu natamani ata ningeweza niludishe siku nyuma ili nilekebishe ule wakati ili nisonge mbele
Siwezi sema nilikuwa natabia gani naweza nikasema watu wakanijua hapa ila natamani sana niludishe siku nyuma kwani nilipoteza marafiki na ata wale ambao walikuwa wananitetea nyuma ya panzia natamani ningeweza niwabe radhi sana kwa yale