Unajutia nini katika maisha yako?

Unajutia nini katika maisha yako?

Kujifanya msomi na mtakatifu anayeishi.
👉Eti sitaki pombe, bangi Wala mademu. Kumbe wananiona najifanya malaika.
👉Kuropoka baadhi ya mambo ambayo ilipaswa niyafanye Siri yangu.
Aisee Kuna binadamu wana roho mbaya Sana. Maana🤬🤬
 
Back
Top Bottom