Unajutia nini katika maisha yako?

Unajutia nini katika maisha yako?

Uzi huu umenigusa sana kwenye maisha najuta sana kuna bint nilimpendaga sana mnamo mwaka 2016 kumbe alikuwa na mimba ya jamaa mwingine nikaja kujua baada kumbana yule bint akawa amekubali kweli mimba ya jamaa ilikuwa ina kama wiki mbili dah najuta sana ikanibidi kwa kuwa nampenda nikatoa pesa yangu akanunu dawa yakutoa ile mimba na baadae baada kutoka ile mimba akaja akashika mimba yangu nayo nikaja kuitoa pia hatukumaliza mwaka tukaja kuachana na sasa ameolewa na yule jamaa wa kwanza aliyempaga mimba
 
Back
Top Bottom