Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

I'llMapenzi ni ufundi anaweza kuwa bikila na usimlidhishe
Ushapigwa za uso na Ke Bikra, si ulikuwa unashadadia Ke yeyote asiye Bikra hastahili kuishi na Me mbali na kuolewa, kiko wapi sasa...🤔🤣

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ushapigwa za uso na Ke Bikra, si ulikuwa unashadadia Ke yeyote asiye Bikra hastahili kuishi na Me mbali na kuolewa, kiko wapi sasa...🤔🤣

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.

Bikra Matter. Kama Hana Bikra Kataa Ndoa. Tuliooa bikra tunawachora
 
hata ukioa bikra hakuna assurance kuwa atatulia
 
Kuoa singo maza wapo kwaajil ya kutoa utelezi kwa kila mwanaume, sasa wew unaenda kumuoa umerogwa?
 
Kama unataka kuoa bikra hakikisha na wewe uwe hujawahi kumla mwanamke hata mmoja maishani mwako. Unataka upate mwanamke bikra wakati wewe mwenyewe ulishindwa kuzizuia hisia zako enzi za ujana wako???

Pia kama hutaki kuoa Single mother basi ni vyema sanaaa na wewe usiwe single daddy;

Kila binadamu ( mwanamke & mwanaume) ana hisia kuona bint katunza bikra yake mpaka kufikia muda wa kuolewa huyo ni zaid ya mali safi, na kwa mwanaume ni hivyo hivyo.
 
Kuhusu nini? Mimi siwezi kuoa Mwanamke asiye na bikra, yàani siwezi kuwa wapili
Bikra ataliwa tu na wahuni utake usitake na huenda hata sasa wapo wanaomtafuna Shemu kimya kimya bila we kujua. Hakuna bikra inayodumu milele wala hati ya kummiliki Binadamu kwa 100% kimahusiano bila yeye mwenyewe kuridhia kimaamuzi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mtoto wa single maza kaja mtetea mamake
 
Asiye na bikra na single mother wôte walewale
Mkuu wacha kujifariji,,
Na sito kufundisha tena,,

" Kuoa single mother ni sawa na kujenga nyumba bondeni kwenye mkondo wa maji."

Furaha yako ni wakati wa kiangazi tu,,ikifika masika kazi unayo😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…