Hapo umemsahau Mostapha Hoza, hiki ndo kikosi changu bora cha Simba FCUkija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Dah, nilimsahau tolu! Safi.Hapo umemsahau Mostapha Hoza, hiki ndo kikosi changu bora cha Simba FC
Angalau kwa hapa bongo umepoza machungu, lkn kule ulaya tutakumbushana historia hivihivi!!Endeleeni kukumbushana ya zamani tu maana hamna jipya mbele ya wababe wa ligi kuu Tanzania bara Dar Young Africans S.C
Wenzenu wanachukua kombe msimu wa tatu mfululizo nyie mnakumbushana historia hahaha
Haina mbaya,ila ujue Real Mardid nao wananipoza machungu.Angalau kwa hapa bongo umepoza machungu, lkn kule ulaya tutakumbushana historia hivihivi!!
Yap! Bado kiduuchu! We tunatofautiana hapa bongo tu, kama vipi hamia msimbazi![emoji12]Haina mbaya,ila ujue Real Mardid nao wananipoza machungu.
Muone boban kwny picha alivyokaa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.
View attachment 510795
Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.
Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Vipi kitalu namba 6 mmefanikiwa kupata walahu mpangaji? Au ndo wajifariji na hawa vyura?Endeleeni kukumbushana ya zamani tu maana hamna jipya mbele ya wababe wa ligi kuu Tanzania bara Dar Young Africans S.C
Wenzenu wanachukua kombe msimu wa tatu mfululizo nyie mnakumbushana historia hahaha
Sitakiiiiii [emoji57]Yap! Bado kiduuchu! We tunatofautiana hapa bongo tu, kama vipi hamia msimbazi![emoji12]
Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.
View attachment 510795
Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.
Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Fikiri magosso piaHapo umemsahau Mostapha Hoza, hiki ndo kikosi changu bora cha Simba FC
1. Juma Kaeja
2. Said Seedy
3.Ramadhan Was so
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa
6. Suleiman Matola
7. Ulimboka Mwakingwe
8. Shekhan Rashid/Christopher Alex
9. Emanuel Gabriel
10. Madaraka Suleiman
11.Steven Mapunda
hii naikumbuka mkuu..apo nilikua primary school hahaas1. Juma Kaeja
2. Said Seedy
3.Ramadhan Was so
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa
6. Suleiman Matola
7. Ulimboka Mwakingwe
8. Shekhan Rashid/Christopher Alex
9. Emanuel Gabriel
10. Madaraka Suleiman
11.Steven Mapunda
mkuu umetisha...boniface pawasa alikua balaa..bila kumsahau Emanuel Gabriel na Athman MachupaJuma K Juma,
Victor Nampoka Costa
Ulimboka Mwakingwe
Mohammed Simba Banka
Emanuel Gabriel (Batistuta)
Shehan Rashid
Boniphace Pawasa
Athuman Machupa
Christopher Alex Masawe
Emeh Izechukwu / Ramadhan Wasso
Hapo umechapia mkuu, sidhani kama Mkambi na Sikinde wamekutana yanga.Joseph Fungo
Yusuph Ismail Bana
Fred Felix "Minziro"
Isiaka Hassan "Chukwu"
Athumani Juma Chama "Jogoo"
Juma Mkambi "Generali"
Rashid Hanzuruni
Charles Bonifasi Mkwasa
Abeid Mziba "Tekelo"
Makumbi Juma "homa ya jiji" "Bongabonga"
Celestine Sikinde Mbunga