Unakikumbuka kikosi hiki cha simba 2010/2011

Unakikumbuka kikosi hiki cha simba 2010/2011

Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Hapo umemsahau Mostapha Hoza, hiki ndo kikosi changu bora cha Simba FC
 
Endeleeni kukumbushana ya zamani tu maana hamna jipya mbele ya wababe wa ligi kuu Tanzania bara Dar Young Africans S.C

Wenzenu wanachukua kombe msimu wa tatu mfululizo nyie mnakumbushana historia hahaha
 
Angalau kwa hapa bongo umepoza machungu, lkn kule ulaya tutakumbushana historia hivihivi!!
 
Juma K Juma,
Victor Nampoka Costa
Ulimboka Mwakingwe
Mohammed Simba Banka
Emanuel Gabriel (Batistuta)
Shehan Rashid
Boniphace Pawasa
Athuman Machupa
Christopher Alex Masawe
Emeh Izechukwu / Ramadhan Wasso
 
Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.

View attachment 510795

Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.

Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Muone boban kwny picha alivyokaa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
 
Endeleeni kukumbushana ya zamani tu maana hamna jipya mbele ya wababe wa ligi kuu Tanzania bara Dar Young Africans S.C

Wenzenu wanachukua kombe msimu wa tatu mfululizo nyie mnakumbushana historia hahaha
Vipi kitalu namba 6 mmefanikiwa kupata walahu mpangaji? Au ndo wajifariji na hawa vyura?
 
Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.

View attachment 510795

Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.

Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794

Aisee kitambo sana hii
 
1. Juma Kaeja
2. Said Seedy
3.Ramadhan Was so
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa
6. Suleiman Matola
7. Ulimboka Mwakingwe
8. Shekhan Rashid/Christopher Alex
9. Emanuel Gabriel
10. Madaraka Suleiman
11.Steven Mapunda

90% ya hawa walikuwepo kombe la Tusker, pamoja na Nteze John, James Sirengo na Joseph Kaniki. Yanga walifungwa 4-1, tarimba aliongoza fujo kwa kurusha chupa za maji uwanjani mpira ukasimama kwa muda, baada ya Madaraka Selemani kupiga la pili akimzungusha John Mwansasu, kufuatia Sekilojo Chambua kusawazisha. Dakika moja kabla ya mpira kwisha simba walipiga pasi zaidi ya 10 wakati Madaraka anajiandaa kupokea pasi kwa Shekhan amalize kazi, shekhan alirudi ndani na kupiga dana dana mpira ukaisha kwa 4-1. Simba ni mabingwa wa kihistoria wa Tusker Cup mpaka linasimama.
 
Simba mna miaka 5 bila ndooo, so ni bora mkaa kimya tuu, tuacheni sisi vidume wa jangwani tuongee
 
Mwenye kumbukumbu na kikosi cha simba kilichofungwa na nkana red devils 4-0 dar na kufunga 5-0 match ya marudiano zambia mbele ya kaunda, na kusababisha avunje chama cha soka, anijuze.
 
1. Juma Kaeja
2. Said Seedy
3.Ramadhan Was so
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa
6. Suleiman Matola
7. Ulimboka Mwakingwe
8. Shekhan Rashid/Christopher Alex
9. Emanuel Gabriel
10. Madaraka Suleiman
11.Steven Mapunda
hii naikumbuka mkuu..apo nilikua primary school hahaas
 
Juma K Juma,
Victor Nampoka Costa
Ulimboka Mwakingwe
Mohammed Simba Banka
Emanuel Gabriel (Batistuta)
Shehan Rashid
Boniphace Pawasa
Athuman Machupa
Christopher Alex Masawe
Emeh Izechukwu / Ramadhan Wasso
mkuu umetisha...boniface pawasa alikua balaa..bila kumsahau Emanuel Gabriel na Athman Machupa
 
Joseph Fungo
Yusuph Ismail Bana
Fred Felix "Minziro"
Isiaka Hassan "Chukwu"
Athumani Juma Chama "Jogoo"
Juma Mkambi "Generali"
Rashid Hanzuruni
Charles Bonifasi Mkwasa
Abeid Mziba "Tekelo"
Makumbi Juma "homa ya jiji" "Bongabonga"
Celestine Sikinde Mbunga
Hapo umechapia mkuu, sidhani kama Mkambi na Sikinde wamekutana yanga.
 
Back
Top Bottom