Unakikumbuka kikosi hiki cha simba 2010/2011

Unakikumbuka kikosi hiki cha simba 2010/2011

Mwenye kumbukumbu na kikosi cha simba kilichofungwa na nkana red devils 4-0 dar na kufunga 5-0 match ya marudiano zambia mbele ya kaunda, na kusababisha avunje chama cha soka, anijuze.
1- Omar Mahadhi bin Jabir
2- Daud Salum bruce lee
3- Mohamed Kajole Machela
4- Aloo Mwitu
5- Mohamed Bakari Tall
6- Aluu Ali
7- Wilie Mwejibe
8- Eziekie Jujuman
9- Jumanne Masiment
10-Abdallah King Kibaden
11-Martin Kikwa
wachezaji wa akiba
1- Athuman Mambosasa
3- Yusuph Kaungo
2- Ramadhan Kibonye
4- Athuman Juma
5- Adam Sabu
 
Mwenye kumbukumbu na kikosi cha simba kilichofungwa na nkana red devils 4-0 dar na kufunga 5-0 match ya marudiano zambia mbele ya kaunda, na kusababisha avunje chama cha soka, anijuze.
Not Nkana devils broo, is Mufulila Wonderers
 
Mwenye kumbukumbu na kikosi cha simba kilichofungwa na nkana red devils 4-0 dar na kufunga 5-0 match ya marudiano zambia mbele ya kaunda, na kusababisha avunje chama cha soka, anijuze.
Haikuwa Red Devils ilikuwa Mufulira Wanderers mwaka 1979:

1. Omar Mahadhi
2. Daudi Salum
3. Mohamed Kajole
4. Filbert Rubibira
5. Hussein Tindwa (alifariki uwanjani raundi ya pili mechi na Racca Rovers ya Nigeria)
6. Abbass Saidi Kuka? au Filemon Mabaso (alikuwa raia wa Botswana)
7. George (Best) Kulagwa
8. Nicodemus Njohole
9. Thuweini Ally
10.Rahim Lumelezi
11. Marin Kikwa

Hapo kuna Dan Mwalusamba, n.k wengi walikuwa vijana wamemaliza tuu form 4 wengine walikuwa bado shule. wakongwe karibu wote walienda Dubai/Oman. Mkongwe waliobaki walikuwa Kajole(marhm) na Mahadhi(marhem) tu. Sabu (Marehemu) na Athuman Juma(marehemu) walienda Yanga kwa muda, Kocha alikuwa Willy Mwaijibe(Marehemu).
 
Back
Top Bottom