1- Omar Mahadhi bin JabirMwenye kumbukumbu na kikosi cha simba kilichofungwa na nkana red devils 4-0 dar na kufunga 5-0 match ya marudiano zambia mbele ya kaunda, na kusababisha avunje chama cha soka, anijuze.
2- Daud Salum bruce lee
3- Mohamed Kajole Machela
4- Aloo Mwitu
5- Mohamed Bakari Tall
6- Aluu Ali
7- Wilie Mwejibe
8- Eziekie Jujuman
9- Jumanne Masiment
10-Abdallah King Kibaden
11-Martin Kikwa
wachezaji wa akiba
1- Athuman Mambosasa
3- Yusuph Kaungo
2- Ramadhan Kibonye
4- Athuman Juma
5- Adam Sabu