Unakopa Kausha Damu ufanye 'Shughuli', ikishaisha unabaki na aibu. Akili ya wapi hii?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
3,016
Reaction score
4,404
Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia!

Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi

Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima kuwa ana uwezo, kumbe ni ombaomba

Hivi mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kukopa mifumo yote ya mateso duniani?

  • Kausha Damu
  • Chupi Mkononi
  • Wanyonya Damu
  • Kamba ya Shingo
  • Mtoto Kautaka
  • Kifo cha Mende
  • Fimbo ya Mungu
  • Jini Mnyonyaji
  • Kiguu na Njia
  • Shoka la Shingo
  • Roho Mkononi
  • Mfa Maji
Siku ya Kiama na ma-App yote ya kwenye simu

Yote kayasomba kisa tu ashushe mziki na kupika chakula cha siku moja cha kumaliza la saba mtoto wake mwajuma

Sasa shughuli imeisha, wageni wameshiba na kuondoka, kilichobaki mtaani ni aibu. Sasa hivi amekuwa kama mwizi wa simu mtaani,

Wadai wanapishana mlangoni kila dakika, na yeye anastaili ya kuishi kama mkimbizi ndani ya mtaa wake mwenyewe, anavizia mtaa upowe, ananyatunyatu kuingia ndani, anakaa dakika 10 kwa woga halafu anatimua mbio tena!

Haya ndio maisha? Baba Mwajuma alifanya maamuzi ya akili sana kumkimbia huyu mwanamke, maana kukaa na mtu wa aina hii ni sawa na kuweka kambi kwenye tanuru la moto.

Kibaya zaidi kinachostua mtaa mzima ni uozo wa huyo binti yake, Mwajuma. Mtoto kashatoa mimba tatu tangu yupo darasa la tano, anatembeza uchi waziwazi bila hata aibu

Mama na mtoto wote wamekuwa gulio la mtaani, Kila mwenye buku tano au buku kumi mkononi anajipigia tu anavyotaka

Wamegeuza miili yao kuwa benki ya kulipia madeni ya Vikoba

Huu ni useng na ulimbukeni. Kama huna uwezo wa kugharamia sherehe, tuliza matako yako ule na familia yako, sio unakopa hadi majini na mashetani halafu unakuja kuuza miili yenu mtaani.

Wadai pigeni hodi usiku na mchana, na huyu mwanamke aelewe wazi kuwa mtaa umemchoka na huo upumbavu wake.
Bye
 
Hata sijui unaongelea nini ila chukua huu ushauri wa Adofu utakusaidia kwenye ishu ya mikopo 😂😂😂

20260914_102750.jpg
 
🤔
 
Attachments

  • e81d0fc175d0403603aed48921c6e4ef.mp4
    27.7 MB
  • e81d0fc175d0403603aed48921c6e4ef.mp4
    27.7 MB
😀
 
Attachments

  • 59d5c34a2b2a37a265312f10d034f15f.mp4
    34.4 MB
Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia!

Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi

Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima kuwa ana uwezo, kumbe ni ombaomba

Hivi mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kukopa mifumo yote ya mateso duniani?

  • Kausha Damu
  • Chupi Mkononi
  • Wanyonya Damu
  • Kamba ya Shingo
  • Mtoto Kautaka
  • Kifo cha Mende
  • Fimbo ya Mungu
  • Jini Mnyonyaji
  • Kiguu na Njia
  • Shoka la Shingo
  • Roho Mkononi
  • Mfa Maji
Siku ya Kiama na ma-App yote ya kwenye simu

Yote kayasomba kisa tu ashushe mziki na kupika chakula cha siku moja cha kumaliza la saba mtoto wake mwajuma

Sasa shughuli imeisha, wageni wameshiba na kuondoka, kilichobaki mtaani ni aibu. Sasa hivi amekuwa kama mwizi wa simu mtaani,

Wadai wanapishana mlangoni kila dakika, na yeye anastaili ya kuishi kama mkimbizi ndani ya mtaa wake mwenyewe, anavizia mtaa upowe, ananyatunyatu kuingia ndani, anakaa dakika 10 kwa woga halafu anatimua mbio tena!

Haya ndio maisha? Baba Mwajuma alifanya maamuzi ya akili sana kumkimbia huyu mwanamke, maana kukaa na mtu wa aina hii ni sawa na kuweka kambi kwenye tanuru la moto.

Kibaya zaidi kinachostua mtaa mzima ni uozo wa huyo binti yake, Mwajuma. Mtoto kashatoa mimba tatu tangu yupo darasa la tano, anatembeza uchi waziwazi bila hata aibu

Mama na mtoto wote wamekuwa gulio la mtaani, Kila mwenye buku tano au buku kumi mkononi anajipigia tu anavyotaka

Wamegeuza miili yao kuwa benki ya kulipia madeni ya Vikoba

Huu ni useng na ulimbukeni. Kama huna uwezo wa kugharamia sherehe, tuliza matako yako ule na familia yako, sio unakopa hadi majini na mashetani halafu unakuja kuuza miili yenu mtaani.

Wadai pigeni hodi usiku na mchana, na huyu mwanamke aelewe wazi kuwa mtaa umemchoka na huo upumbavu wake.
Bye
Niliona mtu ame save namba Chupi Mkononi, nikahisi ni malaya malaya amem save hivyo malaya mwenzake. Kumbe ni mambo ya mikopo aiseee.
 
Back
Top Bottom