dought => doubtHakuna ...dought
hahaahah mkuu nimecheka sana, jamaa alitoka sayari nyingne yule. kubwa zaid alikuwa mda wote anafurahi anavyo wanyanyasa wapinzani.ukimpiga buti ndo anafurah zaidRonaldinho alikua akicheza mpira hata malaika wanacha kazi zao wanamuangalia na kushangilia huko mbinguni.
Alizaliwa kucheza mpira na kuuchezea mpira. Hata mpira ulipokua ukifika miguuni kwa Dinho ulikua unajua umefika nyumbani.
kilichomkuta kuhadithia ni aibu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hawezi mtaja KING anajua alichofanyiwa
we kweli screpa,akili yako ina upupu,gaucho ukamlinganishe na huyo andunje anaejua kupga chenga ya koni tu!Gaucho ni best skillfully player, not the best footballer. Even Messi n Ronaldo are better than him
Yaap! Mpaka leo ana maumivu ya nyonga![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hawezi mtaja KING anajua alichofanyiwa
Ronaldinho alikua akicheza mpira hata malaika wanacha kazi zao wanamuangalia na kushangilia huko mbinguni.
Ubarikiwe mkuu...
Alizaliwa kucheza mpira na kuuchezea mpira. Hata mpira ulipokua ukifika miguuni kwa Dinho ulikua unajua umefika nyumbani.
anafunga tu huyo andunje na hajui atafuturu wapiwe kweli screpa,akili yako ina upupu,gaucho ukamlinganishe na huyo andunje anaejua kupga chenga ya koni tu!
sasa ilikuwe akashindwa ipa Barcelona japo kombe la mfalme mara mojaMkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.