Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
Hiv Gaucho alicheza world cup 1994 ??

Nlikuwa cjui aisee
 
Ronaldinho alikua akicheza mpira hata malaika wanacha kazi zao wanamuangalia na kushangilia huko mbinguni.

Alizaliwa kucheza mpira na kuuchezea mpira. Hata mpira ulipokua ukifika miguuni kwa Dinho ulikua unajua umefika nyumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duuuh kwel kiboko, laiti dinho angekuwa anajua kiswahili n akiona hii comment lazima afurahi sana
 
Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.

Mkuu world cup ya mwaka 94 dinho hakuwepo,au unaiongelea ya mwaka 2002?!
 
kipaji cha Gaucho,Madrid na Roho mbaya kuna mechi alitupiga goli mbili mguuni santiago hapo mpira ulipoisha washabiki wa madrid walisimama kumpigia makofi kuwa hakuna mchezaji wa Timu pinzani toka enzi hizo alionesha kiwango kile mechi ingine barc na Ac milan goli la pili aliwapiga chenga mabeki wanne wazuri Nesta,Cafu, maldin kipa Dida mpira aliuona tuu unacheza na nyavu UEFA hiyo nusu fainali.,,
 
Gaucho mwache aende zake. Kipaji chake kilikuwa ni cha kipekee na cha hali ya juu. Katika wachezaji wote wastaafu duniani kama kuna mchezaji ambaye ningependa kumuona tena uwanjani katika ujana wake (kama kungekuwa na uwezo wa kufanya hivyo) ni GAUCHO.

Gaucho ni wakipekee
 
Back
Top Bottom