Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

Unakubaliana na Boateng kuhusu Ronaldinho?

Hata Nsajigwa atasema Mrisho Halfan Ngassa ni bora kuliko Ronaldinho.

Mahaba ya mtu hayawezi kuzuia uhalisia.

Duniani bado hajatokea kama Messi.
 
The master of ball control.. Fundiii..
 
Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
1994 [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kuna mechi moja kati ya kumbe la Dunia nadhani ilikuwa Korea/ Japan walimzunguka wachezaji wanne aliupitisha mpira juu yao akatokeza kwa mbele yao daaah it was so funny wakabaki wanamuangalia kwa nyuma tu
 
Gaucho Alikuwa Hachezi Mpira, Bali alikuwa Akiuchezea Mpira...
hapo kama ulikua unakoroga sukari kwenye chai,umebadili tu muelekeo,kukoroga toka kulia kwenda kushoto na toka kushoto kwenda kulia matokeo yake ni yaleyale
 
hapo kama ulikua unakoroga sukari kwenye chai,umebadili tu muelekeo,kukoroga toka kulia kwenda kushoto na toka kushoto kwenda kulia matokeo yake ni yaleyale

Wewe Kama Ni Msomi Mzuri Basi Utakua ni PCM that is why You Can't differentiate between Cheza and Chezea..
 
Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.
rekebisha mwaka ili kuweka record sawa.
 
nyie mnamjua zidane lakini maana hata huko Brazil wanakili huyu mtu co wa mchezo na mzee furgason alisema anahitaji zidane na miti kumi tu kuchukua kila kikombe kitakacho pita mbele yake! naomba mkamuulize dinho mwenyewe ana habari za huyu mtu.
 
Back
Top Bottom