Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Hata 98 Dinho hakuwepo.... Dinho kaanza world Cup 2002 anamtungua David Seaman... Kasome notsi urudiAhsante kwa kunisahihisha mkuu, ilifanyikia Marekani nadhani ilikuwa 98
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata 98 Dinho hakuwepo.... Dinho kaanza world Cup 2002 anamtungua David Seaman... Kasome notsi urudiAhsante kwa kunisahihisha mkuu, ilifanyikia Marekani nadhani ilikuwa 98
Aahh.. Tuombe radhi ma'PCM wote humu ndani..[emoji23] [emoji23]Wewe Kama Ni Msomi Mzuri Basi Utakua ni PCM that is why You Can't differentiate between Cheza and Chezea..
Sina uhakika juu ya hilo kwa kwelihawa watu zidane wamepata kuiona shughuli yake vzr?
Hiyo ni kauli yake binafsi na sio fifa,makocha, na wadau kote duniani, na hiyo ni kutokana na wao kukutana tim moja huko italy/ Milan....licha yakuwanae tim moja lkn hakupaswa kuongea uongo au kutaka sifa kwake, na badala yake alipaswa aongee ukweli, na kuwapa heshima wachezaji hao, bila kumsahau Alfredo de stefano.
-Vile vile sio hao tu. bado kuna akina;
- Requelme,
- redondo,
- Cr7
- cannigia
- iniesta,
- Aguero
- De lima.....gaucho bado sana kuwafikia mafundi hawa,na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza!
-PlayerZ ambao wakuwaweka meza moja na Gaucho ni;
- Pablo César Aimar
- batistuta,
- okocha,
- oriel ortega,
- ibrahimovic,
- de maria,
- neimar,
- xavi
- SuareZ, na wengine wengi tu!
Boateng awatake radhi hao wachezaji, na aache kuropoka!
Hapana mkuu umemdisgred sana Dihno kwa kumlinganisha na hao uliowataja. Kwa skills hakuna aliyewahi kumfikia dinho. Kina Juan Requelme, pablo Aimar, Ariel Otega, Redondo, na wengine wa aina hiyo ni wa kulinganishwa na zizzou. Dinho ni habari nyingine.Hiyo ni kauli yake binafsi na sio fifa,makocha, na wadau kote duniani, na hiyo ni kutokana na wao kukutana tim moja huko italy/ Milan....licha yakuwanae tim moja lkn hakupaswa kuongea uongo au kutaka sifa kwake, na badala yake alipaswa aongee ukweli, na kuwapa heshima wachezaji hao, bila kumsahau Alfredo de stefano.
-Vile vile sio hao tu. bado kuna akina;
- Requelme,
- redondo,
- Cr7
- cannigia
- iniesta,
- Aguero
- De lima.....gaucho bado sana kuwafikia mafundi hawa,na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza!
-PlayerZ ambao wakuwaweka meza moja na Gaucho ni;
- Pablo César Aimar
- batistuta,
- okocha,
- oriel ortega,
- ibrahimovic,
- de maria,
- neimar,
- xavi
- SuareZ, na wengine wengi tu!
Boateng awatake radhi hao wachezaji, na aache kuropoka!
Ashley Cole 1994 WC?Mkitaka ushuhuda mwengine unaofanana na wa Jerome mtafuteni Ashley Cole juu ya madhira aliyokumbana nayo wakati wa World Cup 1994 quater final, alitenguliwa nyonga hakurudi tena uwanjani. Mpira ulikuwa ukimuona Gaucho ulikuwa unamtii kama vile Mbwa amwonapo chatu.