Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mzee Kaduguda amehojiwa na kueleza kwamba kila Simba na Yanga wakicheza lazima tukio la kifo kinachotokana na mechi hiyo litokee
Kama ndivyo na sisi ni mashabiki wa timu hizi na ukifa ndio umekufa na atutaweza kushangilia mpira tukifa! Nini tufanye sisi mashabiki tusife kwa sababu ya Simba na Tanga tukaacha watoto na wapendwa zetu na majonzi?
Tujadiliane kabla yakufa kizembe.....let us discus kama ambavyo HIV inaua na tunatumia Kinga kama taadhari basi tubuni mbinu ya kushangilia mpira kufa au kujiua.