Huo ugomvi nakuachia wewe na polepoleKwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti kwamba sisi iwe juu kwao kidogo?
View attachment 3467926
Mkwere anawapotosha. Za kuambiwa.... pima na tafakari. Ukichanganya inawezekana kabisa zote ni upotoroZa kuambiwa changanya na zako.
Fedha zinakwenda kununua magari ya kifahari ya Samia na shoga zake na kujenga majumba ya kifahari.Nchi zote tunazopeleka au tunawapitishia mafuta zimetuzidi bei kwetu kuna levy za ushenzi sana
Na Iran wanachimba mafuta. Cuba wanaagiza bado lita 300 na vikwazo juu.Iran lita 1 ni Tsh 210 za kitz
Kamwaga aende tena ubalozi wa Cuba kuthibitisha , ndio kazi yale iliyobaki...Kwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti kwamba sisi iwe juu kwao kidogo?
View attachment 3467926