Unakubaliana na Polepole kwamba Lita ya Petrol Cuba ni Tsh 300 au ndio ile unabisha ulikuepo?

Unakubaliana na Polepole kwamba Lita ya Petrol Cuba ni Tsh 300 au ndio ile unabisha ulikuepo?

Kwani hapa kwetu tukitoa kodi inabaki bei gani?
 
Kuna kipindi mafuta yalifika mpk lita 2400.
Yalipoanza kupanda kipindi cha corona mfululizo mpk ikapelekea nauli za mabasi na dalala kupanda.
Hili suala lilifika Bungeni nakumbuka Abood alizungumzia hili akasema ukilitimba wa board na kodi unafanya mafuta bei iwe juu sana.
Kiuhalisia mafuta yalipaswa yauzwe chini ya au 1000.
Video ipo ya kumbukumbu.
 
Screenshot_20250909_013221_Chrome.jpg

BEI YA DIESEL YA MWEZI HUU KWA BAADHI YA NCHI
 
Hivi yule aliyeenda kuulizia bei ya gas Ubalozini wa Cuba mbona hajarudi kutoa mrejesho? Atakuwa aligongwa na kutu kizito kichwani akaamua kupotea.
Polepole sio wa mchezo mchezo.
 
Duh tunasindikiza dunia kweli

Mkapa alikuwa mwamba Sana kwenye ku control inflation mafuta aliuza 750 na change ya dollar ilikuwa 1200 mpaka anaondoka Ikulu

Hii nchi tatizo ni Kikwete mpaka kesho!!

Siku zote nasema Nyerere aliona mbaki kumkata kikwete na kumu weka mkapa, Jifikirie Nchi ingeanza kuliwa since 1995 si tungekua tushakua failed state.

Hapo 2005 ameingia kakuta BWM kaweka mifuno mingi ya kitaasisi ikiwa bado haija mature, Akashindwa kui endesha tu
 
Back
Top Bottom