Unakufa Thread

unaota ndoto mama ako amekufa kwa mshituko unakufa ukiwa ndotoni...... asubuhi unaamka unapokea ujumbe kua mama ako amekufa unakufa mara ya pili
 
Unamuona demu mzuri, unammezea mate yanakukaba unakufa.
 
Unazidishiwa chenji na mangi unakimbia unavuka barabara bilà taadhari unagongwa na gari Unakufa
 
mwenzenu nimezaliwa jumakumi tarehe 98 mwez wa s mwaka 2100
I LOV U MALAIKA
mwaka huu hbd yangu
🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…