Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀 mkuu hebu tikisa kichwa chako,....hausikii maji kweli?Unaenda kwenye sherehe ya kukata na shoka unafika unakatwa na shoka unakufa
kufawe jamaa unawaza nini?
Haijulikani kagongwaje au kagongwa wapi maana amesha KUFAAnagongwaje gongwaje kwa mfano??
😂😂😂😂😂😂😂
mpaka UKAFA.Hahah!!, nimecheka kiboya
hahaa hio message lazima imuue HULK,maana kichapo alichopokea kilimpa tabu saana...inakutana na hii message mwisho wa avengers:infinity war ''Thanos will return" kwa kuwa unajua shughuli yake unalia mpaka unakufa
Ya KUFWADah watu wa humu kwa kweli mmenishinda tabia
unamfukuzia mtoto mkali demi ,anakuzingua siku anakukubalia,kusoma tu PM yake unazidiwa na furaha unakufa kwa heart attack..Shindwaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]albadir imeanza kufanya kazi au vp,,?