Unakufa Thread

Unakufa Thread

Unajipuliza pafyum harufu inakuwa kali inapanda kichwani unajihisi kizunguzungu unadondoka chini UNAKUFA
 
unang'ang'ania kupitia dirishan kwenye mwendo kasi dereva anaondoa bus akijua tayar mshajaa kumbe shingo&kichwa vmeingia mwil bado unaburuzka shingo inakatika unakufa
 
Umdhaniaye siye unagundua ndiye unakufa
 
Una ukame, unapata demu, mechi ya kwanza jamaa kalala, unapatwa na msongo wa mawazo unakufa!!
 
Ule upuuzi wa umama uli trend sana saivi taratiibu unakufa
 
Unachukua hela ya MICHANGO YA HARUSI unabet juventus anashinda... Mara Ronaldo anapewa red card juve anafungwa unapata presha unakufa.
 
unaandika thread ya kufa kufa huku unatembea, unajikwaa unaangukia kichogo unakufa
 
Back
Top Bottom