Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
UnaendaHutaki nikushike,unashikwa na homa UNAKUFA...
Mbinguni hakuna kufaa...Unaenda
Mbingun
Unakufa
Hutaki nikushike,unashikwa na homa UNAKUFA...
HahahahahahahaaahhahaUnakata kucha kwa wembe, mara wembe unaruka juu, unaasama mdomo kwa mshangao, wembe unaingia mdomoni unakara koromeo, unakufa.
Kama final destination vileππππHahahahahahahaaahhaha
We jamaaaa
Nikifa nayeye anapata stress,vidonda vya tumbo anashindwa kula anakonda anakufa,.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe upo huku....ukikutwa na mmeo unaachika unapooza kisha unakufa
HahahahaKama final destination vileππππ
Kama final destination vile[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamani ni kitu gani hichi..!! Unakufa Unakufa. [emoji34][emoji35]
ππππUnajifanya hujui ni nini....unauliza kumbe ni terminator linakumeza unakufa
Mkuu inakuhusu hii nnUnachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA
KitamboUnaomba mahaba niuwe unapewa unakufa