hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaUnachanganyikiwa unaingia club unakitana na dem mfupi amevaa red dress unadhani ni pilipili hoho unashtuka unakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaUnachanganyikiwa unaingia club unakitana na dem mfupi amevaa red dress unadhani ni pilipili hoho unashtuka unakufa
dahh !! hii balaaunauza nyumba ili uende india kutibiwa unafika india unakufa
Aiseemaisha yako yote unaishi bila kuchepuka mke wako anakuletea ukimwi unakufa
hahaaunaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa
hahaaUnaenda huko insane ... Unakufa
Kwan insane ni wap mkuu tujuze tupajue
Unakujua insanehahaa
sitaki hata kupajua nikipajua nitakufaUnakujua insane
Sawa! Mode asubuhi njemaNdio asee nampenda sana
Asubuhi njema pia bossSawa! Mode asubuhi njema
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]ukipajua unakufa
Daaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unaimba kwa Sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, anatoka anakugonga then Unakufa