Unakufa Thread

Unakufa Thread

Unaumwa halafu unapost eti "Sick at Aga Khan Hospital" Mungu anatuma malaika anakutafuta Aga Khani nzima akuponye anakukosa'Kumbe upo Mwanymala hospital, Unazidiwa unakufa!
 
Manzi ako anasauti ya nyoka pangani anaimba nyoka anatoka anakuuma unakufa
 
Unamwambia dem wako kiutani "TUACHANE" then anakuacha kweli unaishia kupiga P hadi unakufa
 
Unasoma Tourism miaka minne unaenda Field Serengeti unaliwa na Simba unakufa
 
Unasoma reply za watu Kwenye huu uzi zinakuchekesha sana midomo inachanika unakufa
 
Shabiki wa Manchester United unatazama mabao ya aubemeyang, unacheki muvi za city, unatazama namna Salah na hazard wakishangilia, unacheki lukaku anavyokosa mabao, anavyoshindwa kutuliza mpira, roho inakuuma, Unakufa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Demu mwenye boobs kubwa anaku hug tight,unashidwa kupumua unajamba
unashtuka unapatwa na heart attack unakufa
 
Umebet hela za rambirambi.paul dybala kachana mkeka unakaa na stress UNAKUFA.
 
Unaazima simu ya mchizi wako >>> unaingia kwa gallery yake ... unakuta picha za uchi za demu wako wa kilokole, yule anaekwambia'ga kusex ni mpaka umuoe, unapata mshtuko Unakufa 😢😧
 
Unajifanya hupendi pombe eti dini hairuhusu,jumapili unaenda church unaangukiwa na spika ya kanisa unakufa
 
Back
Top Bottom