Unakula msosi gani leo?

PAGE II
Vyakula vinavoninyima usingizi

7.Mtura
Aisee ukute waporipori wanaojua kuipika na kuitengeneza hii hutakaa usahau.
Angalizo: ukila ambayo haijatengenezwa vizuri unaweza ukaudhika sana




8.Urojo
Mi nimezaliwa mikoani.Hamna kitu tulikua tuna dis (ponda) ingawa tulikua hatukijui jina tu tulikua tunadhani ni chakula mlegeo lakini nilivokuja pwani nikasema ebu nikitafute.Nilipopata trip ya bagamoyo nikasikia sehemu kwa mpemba wanauza nikaagiza aisee sikuchukia maamuzi yangu



Kama hujaonja hii misosi itafute

#Kwachochote_unachopitia_usiache_kula
 
urojo upatie mixing hizo bajia chauro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…