Unakulaje bata ikiwa si mtu wa mademu, huli kitimoto na hunywi pombe?

*Kula vyakula vya bahari,nyama choma hususan ya kondoo,gahwa nyeusiii ama juice ya tende.
*Kucheza game hususan playstation.
*Kuogelea.
*Kutembea maeneo ya pori yenye mandhari nzuri iliyotulia.

 
Au kusoma kitabu kizuri nayo ni bata la kufa mtu.

Aaaani unaenjoi kinyamaa, tena ukute mwandishi ana ma experience ma phDoctorate huko madude hatari. Aaaah ni bata batani usipime๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿฅฒ
ukichanganya na kale ka harufu kanakotoka kwenye kitabu dah! Unajihisi upo dunia nyingine ya tofauti.
 
Au ukiwa well-off kipesa unaenda hadi pale visiwa vya hawaii kupunga upepo ufukweni kutoka bahari ya pasific
 
Namaanisha kula bata
yaani BATA=DUCK
 
ukichanganya na kale ka harufu kanakotoka kwenye kitabu dah! Unajihisi upo dunia nyingine ya tofauti.
Afu rangi yake isiwe makaratasi meupe... iwe ile kama njano/brown flani ilee. Haichoshi macho ni kutiririka tu page kwa page....
 
Mimi Jaluo ya Dodoma sina hela ya kula Bata hivyo sikuli Bata ila Bata anakula mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ