Unakulaje bata ikiwa si mtu wa mademu, huli kitimoto na hunywi pombe?

Unakulaje bata ikiwa si mtu wa mademu, huli kitimoto na hunywi pombe?

Kuna mambo mengi ukiachana na pombe na wanawake(hapa namaanisha michepuko/zinaa) vitu viwili ambavyo vinarudisha maendeleo nyuma kwa spidi kubwa sana
Wewe Una maendeleo gani mpaka kuspend 30,000 kumwagilia moyo na kumpa katoto pesa ya salon ndio useme unarudishwa maendeleo nyuma? Kwa mEndeleo yepi uliyonayo?
 
Kula bata ni
Kusafiri safari Kwa ndege, boat majini
Kufanya utalii mbugani
Kujipatia stare ya moyo

Mtoa madam anadhani kula bata ni kukaa grocery na kuagiza bapa ya kvant na kahaba mchafu, kucheza mziki wa mapiano hizo ni fujo na bangi
Umemaliza mkuu Safi sana hawa watoto wa 2000 wakishashinda Chota mihela wanajiona dunia yote ni yao.
 
Kula bata ni
Kusafiri safari Kwa ndege, boat majini
Kufanya utalii mbugani
Kujipatia stare ya moyo

Mtoa madam anadhani kula bata ni kukaa grocery na kuagiza bapa ya kvant na kahaba mchafu, kucheza mziki wa mapiano hizo ni fujo na bangi
Hivyo ulivyo taja ukifanya ukiwa na kitu kichwani ndio unaipata maana halisi ya paradise Evelyn Salt
 
Back
Top Bottom