Unakulaje bata ikiwa si mtu wa mademu, huli kitimoto na hunywi pombe?

Unakulaje bata ikiwa si mtu wa mademu, huli kitimoto na hunywi pombe?

Mtu utasikia anadai anaenda sehemu kula bata ila akifika anakunywa soda chips labda na kipande cha kuku. Kwani kula kwa tunavyohisi ni kitendo cha starehe yaani yawe mambo yenye utofauti kidogo na unayofanya kila siku.

Wewe kwa upande wako ukisema unaenda kula bata unamaanisha mambo gani haswa.
Kuna mambo mengi ukiachana na pombe na wanawake(hapa namaanisha michepuko/zinaa) vitu viwili ambavyo vinarudisha maendeleo nyuma kwa spidi kubwa sana
 
Back
Top Bottom