samhonglee2
Member
- Apr 9, 2018
- 35
- 10
We mwenzenu anamuelewa boy nako babu alagu tofautisha boy nako na lord z mzeeBraza hukuwepo kwenye scene hayo maneno ya vijiweni hayatokusaidia,bifu lao sis wengine tunalijua kiundani kwa hiyo ukiongea uongo tunakuweka kwenye ukweli acha kupotosha watu.Toka lini teja akawa ana nguvu wewe mkuu?
Hakuna Bou nako wala Lord Eyes ambaye alidiriki kumgusa PINNA kwa taarifa yenu wakati ule walivyokuwa na bifu wale N2N wote walikuwa Msasani na KIKOSI maskani yao yapo block 41 kama wao wanajiamini mbona hawakwenda na wanapajua kule? Tatizo watu mnapenda kudanganywa ndo shida ndo maana mnaibiwa 1.5trn kwa sababu mentality yenu inapenda kudanganywa.We mwenzenu anamuelewa boy nako babu alagu tofautisha boy nako na lord z mzee
Ilikuwa ya tape???? Hashim yupo humo ndaniMimi nina albamu yao ya kwanza ile kufa au kupona kuna nyimbo kama mstari wa mbele,harakati,dira,mchumba,uhuru wa kujieleza zipo kama 17 hivi
Fado no thug mzeee alafu naye mkono anautembeza ile laanaFado huwa anajikuta Gangster Sana Sasa sijui kama ni kweli yeye ni thug
Ninayo tape na CD. Tapes ninazo nyingi tuIlikuwa ya tape???? Hashim yupo humo ndani
Yes Kalapina amekatwa mkia now.Yupo ccm now
Kama walivyokatwa na wanaotarajiwa kukatwa wengine mkuuYes Kalapina amekatwa mkia now.
Hizi story za Fido Vato naskiaga tu kwamba mtemi flan pale R chuga imekaaje hiiYeah kata mbili tatu anazijua... Hata fido vato nae anacheza kickboxing .
Huenda akawa ni mtemi kwa muda huu baada ya wasanii wengi wa N2N kuwa mateja. Ila usisahau kuna watengwa wale sio poaHizi story za Fido Vato naskiaga tu kwamba mtemi flan pale R chuga imekaaje hii
Nikweli mkuu ukisikiza kazi za zamani unaweza tamani ata kuliaya kale dhahabu chief""
Mazoezi na Muziki Lord Eyes ameanza tangu 1990's since yuko Hardcore Unit Squad na JCB, Spac Dawg & Mastiff. Huyo Kalapina kaonana naye 2000's kamkuta Lord Eyes hivyo-hivyo unavyomuona, hapo labda useme Lord Eyes amshukuru Pinna kwasababu alikua anafikia geto kwao akienda dar kurekodi.Kuweka kumbukumbu sawa,Lord Eyes hajawahi kumpiga PINNA na hakuna mtu aliyewahi kumpiga PInna huo ni umbea tu wa kitaani. Kwanza Lord Eyes amshukuru PInna kamsaidia sana kimuziki na mazoezi hayo wamefundishwa sana pale block 41 watu tunajua ishu sema tunakausha tu,ila mkiongea uongo tunawaumbua.
Wewe unajua harakati za kikosi zilianza kipindi gani? Kama hujui sema tukusaidie mkuu. Hapa sisi ukiongea uongo tu tunakupa uhalisia kwa hiyo kama hujui sema.Movement za Kikosi watu tunazifahamu nje ndani chief.Usidhani hatujui historyMazoezi na Muziki Lord Eyes ameanza tangu 1990's since yuko Hardcore Squad na JCB na Spac Dawg, huyo Kalapina kaonana naye 2000's kamkuta Lord Eyes hivyo-hivyo unavyomuona, hapo labda useme Lord Eyes amshukuru Pinna kwasababu alikua anfikia geto kwao akienda dar kurekodi.
HahahFado no thug mzeee alafu naye mkono anautembeza ile laana
Hata kama harakati za kikosi zilianza 1960, kalapina na N2N wamekutana 2000's so hakuna aliyemfundisha Lord Eyes chochote hapo block 41.Wewe unajua harakati za kikosi zilianza kipindi gani? Kama hujui sema tukusaidie mkuu. Hapa sisi ukiongea uongo tu tunakupa uhalisia kwa hiyo kama hujui sema.Movement za Kikosi watu tunazifahamu nje ndani chief.Usidhani hatujui history
Na kwa taarifa yako tu PINNA ndiye mwenye connections zaidi kuliko huyo Lord Eyes wako unayemsapoti na alimuunganisha kwa wadau na ndipo walipokuwa maarufu zaidi brother. Na kuna nyimbo moja waliimba inaitwa "MACHAFUKO" waliimba N2N na KIKOSI. Kwa hiyo huwezi sema tu kwamba mtu alikuja akafikia geto kwa mtu bila msaada wowote.Mazoezi na Muziki Lord Eyes ameanza tangu 1990's since yuko Hardcore Squad na JCB, Spac Dawg & Mastiff. Huyo Kalapina kaonana naye 2000's kamkuta Lord Eyes hivyo-hivyo unavyomuona, hapo labda useme Lord Eyes amshukuru Pinna kwasababu alikua anafikia geto kwao akienda dar kurekodi.
Kumbe mkuu harakati zenyewe huzifahamu unabishabisha tu bila mpango.Kitu kama hujui sio kesi kuomba msaada. Pole sanaHata kama harakati za kikosi zilianza 1960, kalapina na N2N wamekutana 2000's so hakuna aliyemfundisha Lord Eyes chochote hapo block 41.
Nadhani Mchambuzi amekuweka sawa kuhusu Lord lini kaanza mziki na mazoezi,Wewe unajua harakati za kikosi zilianza kipindi gani? Kama hujui sema tukusaidie mkuu. Hapa sisi ukiongea uongo tu tunakupa uhalisia kwa hiyo kama hujui sema.Movement za Kikosi watu tunazifahamu nje ndani chief.Usidhani hatujui history
Harakati za kupiga mizinga wapita njia na kuwapiga mabishoo?Kumbe mkuu harakati zenyewe huzifahamu unabishabisha tu bila mpango.Kitu kama hujui sio kesi kuomba msaada. Pole sana
Hajaniweka sawa mimi ndio nimemuweka sawa kwamba Lord Eyes wakati ule walivyokuwa na urafiki na PINNA kuna vitu alinufaika navyo moja kwa moja ikiwemo support,kupata connections tofauti za wadau na kufanya mazoezi na wala sio jambo la ajabu kwa mtu kama mimi kuyasema haya kwa kuwa naongea kitu ambacho ninakijua kwa 100% kwa hiyo unaponipinga unatakiwa unipinge ukiwa na uhakika sio kubabaisha babaisha mkuu.Nadhani Mchambuzi amekuweka sawa kuhusu Lord lini kaanza mziki na mazoezi,
maana kuna sehemu unasema wamefundishwa mazoezi na Pina,