Unakumbuka Enzi za Kalapina?

mwambie pina anaujua mziki wa koba kimanga
 
Aliyekwambia nina jazba nani? Mimi ninawafahamu wote vizuri mkuu kwa hiyo usidhani mpaka nacomment ninaongea nisichojua ninayajua mambo mengi kuliko unavyofikiri isipokuwa kitu ambacho sikipendi ni kuona mtu anaongea uongo hapo lazima tutofautiane chief
 
N
a mengine ni mambo ya aibu sana hata kumwambia mtu unajishauri
 
Mbona Mkuu tambo nyingi,unajua unajua lakini hufunguki! Hebu tupe basi kidogo harakati za Kikosi zilianza lini?
 
Hujui kitu ndiyo maana umemjulia Lord Eyes kwenye nyimbo ya Machafuko na ndiyo sababu unadhani Lord eyes ametolewa na Pina.
 
Nadhani hapa kila mtu amenufaika na mwenzake,maana suala la mazoezi Lord ameenza siku nyingi kabla hata hawajakutana na Kikosi,na hata kimuziki wakati wanakutana,N2N walikua tayari ni maarufu!
 
kurap mbona wana rap"" hata waimba mayenu"" Nina kunya nanina hakika mtozoa"" nawasha kama chavi. chavi" hahaaa nimeshaisahau ile mistari.....ile beat ilikuwa ni nyoko
Juma Nature alimjibu kwenye track iitwayo msela ambayo walipiga kolabo na ngwea na Kaka Rashid ( kr ) " Maisha ya kisela sio sawa na usela mavi kunya wazi wazi kama unavyo fikiri mdwanzi.We unafikiri usela ni kuwapora watu kuwalazimisha watu eti walale SAA tatu"
 
Wakati
Wakati unapoielezea kikosi kwa mtazamo hasi kumbuka pia hata huyo Lord Eyes wako ni mwizi mzoefu na alishakamatwa na polisi Arusha kwa kuwaibia wazungu Laptops zao na camera. Usidhani watu hatujui chief.
 
Juma Nature mtoto wa kitaa ulikuwa huwezi mgusa kipindi kile hata uwe mbabe kiasi gani maana wanatemeke wote wanaweza wakaandamana kukufata[emoji3]
 
Nadhani hapa kila mtu amenufaika na mwenzake,maana suala la mazoezi Lord ameenza siku nyingi kabla hata hawajakutana na Kikosi,na hata kimuziki wakati wanakutana,N2N walikua tayari ni maarufu!
Kikosi walianza kuwa maarufu kabla ya N2N, hapo umechemka mzee
 
hapana sio kweli ..track Yakima nature ilitangulia kutoka ilitoka 2005..na hiyo ya kala pina nabii coco "" ilitoka mwaka 2007
 
Mkuu I doubt kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa HIP HOP movement bongo au unaongelea mambo kishabiki.
 
hapana sio kweli ..track Yakima nature ilitangulia kutoka ilitoka 2005..na hiyo ya kala pina nabii coco "" ilitoka mwaka 2007
Nikisema baadhi yetu hatuna uelewa wa kutosha kuhusu HIP HOP movement mnabisha. Ndio maana toka mwanzo niliwaambia humu ukiongea uongo lazima utaumbuka tu
 
pia koba kimanga mzee wa central
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…