Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Mau Fundi aliwahi kukutana na Pinna wapi? ndio maneno ya vijiweni hayo mkuu na ndipo shida inapoanzia
Matango pori sasa vijana wadogo ambao hawakuepo zama za kina Pinna nao wakiyachukua wanahadisiana hivyo hivyo
 
Mbona huyu anaonekana mlaini naona povu tu ndio limejaa ndani ya mwili
 
Yule Kala Pina angemjaribu Zolla a.k.a Undeee no pain no future ambaye huwa anafanya mazoezi na mwarabu fighter bodyguard wa Diamond
 
Yule Kala Pina angemjaribu Zolla a.k.a Undeee no pain no future ambaye huwa anafanya mazoezi na mwarabu fighter bodyguard wa Diamond
Hahah tatizo ndio wamepishana zama
 
Watu wengi ambao wanamuongelea Pinna au Kikosi cha mizinga ni watu wanaoongea kwa ushabiki na mihemko.Sasa sis wengine ambao hatupendi umbea na uongo ukidanganya tunakuchana hapohapo ili uache porojo zako.
Kwa hiyo pina hana mbabe
 
Kuna ile *umoja ni nguvu* ni yake au ya kundi?
daaahhj hii ngoma ilitokeaga kuniteka moyo kabisaa...hkuna ngoma ya kikosi iliyonitafuna akili na kunikonga moyo kama hiyo aisee
 
Kikosi cha mizinga kuna nyimbo nyingi sana ambazo unaweza kuzisikiliza hata ukiwa na wazazi wako kwa sababu zimebeba maudhui na ujumbe halisi. Tatizo lililopo Tanzania kwenye music industry ukiimba nyimbo za aina ile media zinabinya wao wanataka uimbe ngono tu ndo wafurahi
 
Yule Kala Pina angemjaribu Zolla a.k.a Undeee no pain no future ambaye huwa anafanya mazoezi na mwarabu fighter bodyguard wa Diamond
Kwanini Zola D asimjaribu Pina?
 
daaahhj hii ngoma ilitokeaga kuniteka moyo kabisaa...hkuna ngoma ya kikosi iliyonitafuna akili na kunikonga moyo kama hiyo aisee
Yaah! bonge ya ngoma nakumbuka Pina kuna siku alialikwa kilingeni na kina Nikki mbishi kipindi hiyo kilinge kilinge kweli, sasa ulifika muda wa kuimba hii ngoma ebhna asikuambie mtu kila mtu ilimteka moyo japo ilikua imetoka muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…