Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Matango pori sasa vijana wadogo ambao hawakuepo zama za kina Pinna nao wakiyachukua wanahadisiana hivyo hivyoMau Fundi aliwahi kukutana na Pinna wapi? ndio maneno ya vijiweni hayo mkuu na ndipo shida inapoanzia