Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Unakumbuka Enzi za Kalapina?

Nakumbuka alimtandika ngumi chid benzi pale maisha club, alimpiga bou nako mpaka akalazwa aga khan, Alikuwa ana gym lake block 41 ukitaka kuingi gym lazima upige push up 1000,aliwahi kumnyoa nywele salama wa eatv, yeye ndiye aliyeanzisha mambo ya kusema hiphop sio bongo flava na bado ana chuki na bongo flava mpaka leo, anapinga madawa ya kulevya ila na yeye anatumia mmea, alishawahi kupigana na p funk majani pale bongo records ilikuwa Noma, aliwahi Kuwa na bifu na kingoko, dudubaya n.k.....Ongezea mengine, Kalapina!!!!!!
Huyu ndie msanii aliyejitoa kufa au kupona kuiokoa Hip Hop wakati inasongwa na Wadau wasiopenda Hip Hop
 
Ulishuhudia nin tupe mkasa ilikuwaje
Kuweka kumbukumbu sawa,Lord Eyes hajawahi kumpiga PINNA na hakuna mtu aliyewahi kumpiga PInna huo ni umbea tu wa kitaani. Kwanza Lord Eyes amshukuru PInna kamsaidia sana kimuziki na mazoezi hayo wamefundishwa sana pale block 41 watu tunajua ishu sema tunakausha tu,ila mkiongea uongo tunawaumbua.
 
Na vipi kuhusu story ya Dudubaya na Pina?
 
Kuweka kumbukumbu sawa,Lord Eyes hajawahi kumpiga PINNA na hakuna mtu aliyewahi kumpiga PInna huo ni umbea tu wa kitaani. Kwanza Lord Eyes amshukuru PInna kamsaidia sana kimuziki na mazoezi hayo wamefundishwa sana pale block 41 watu tunajua ishu sema tunakausha tu,ila mkiongea uongo tunawaumbua.
Stori nyingine humu wadau wanatunga tu wanavyojisikia
 
Dudubaya alipewa kipigo cha kutosha na Kalapina bilcanass,na DUDUBAYA yeye ndiye aliyekuwa anpenda kuanzisha fujo ila mziki wa PINNA aliokutana nao bila shaka alihadithia na alihama DSM kwa muda.
Hahah!!
 
Ni kweli mkuu tatizo JF kuna watoto wametoka fb na instagram wapo wengi wapeda umbea
Kuna mdau anasema Pina alimpiga ngumi ya shingo Mau Fundi sasa hayo ni masihara kweli ila tuvumiliane tu huu ni msafara wa mamba
 
Mau Fundi aliwahi kukutana na Pinna wapi? ndio maneno ya vijiweni hayo mkuu na ndipo shida inapoanzia
 
Back
Top Bottom