Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage
Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.
Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:
"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"
"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"
"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"
"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"
"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"