T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Sema inauma sanaI was hahaaaaaaaa...
Not anymore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema inauma sanaI was hahaaaaaaaa...
Not anymore
Hahaaa....in September one came back crawling hahahaaaa..Maaan...love is pain for real! 3 shots, i can't imagine.
Hahahah how ol is she man! Usije kupata kesi na Jamhuri ya muungano 😂😂😂Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Pain is weakness leaving the body.....I don't scramble with Rambos while hao people wako kbao....Sema inauma sana
She is a lone mother of one now....eti ohhh J i still think of youuu...nikacheka km Magu....That bihh was crazey, i guess you just told her to hit the fuccn door[emoji23][emoji23][emoji23] no doubt!
Oya vipi unaenda kukaa kwa mwanamke...Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Hahaaa ni mtumishi mkuu na hajapata uhamisho mkuu mi nko DarOya vipi unaenda kukaa kwa mwanamke...
Daah pole sana kakaMi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
You seem to be a good boy...tell you what ? Wanawake hawawapendi good boys...mpelekeshe...siku moja usurudi nyumbani...nenda disco lala sehemu nyoa nywele zote mwilini km yule DJ wa gongo la mboto....atanyooka au piga chini leo leo huyo freak atakutesaHahaaa ni mtumishi mkuu na hajapata uhamisho mkuu mi nko Dar
Kwani kukaa kwa mwanamke ndio kihalalisho cha kufanya ushenzi,Oya vipi unaenda kukaa kwa mwanamke...
Nilifikiri ndo ameenda kukaa by the way hamna good relationship hapo... Huyo mdada ashakuwa ktk circle nyingine kbsaa ndo maana mpk wanaume wanaenda kwake kutazama Mpira...hapo anatakiwa atumie kichwa vizuriKwani kukaa kwa mwanamke ndio kihalalisho cha kufanya ushenzi,
Alafu Mbona mchzi kaeleza vyema sana kwamb aliend mkoani, Arrrggghh we nae ?
Dah una haki ya kutamba mzee mwenzangu😂😂😂 ningekuwa na romantic patner namna hio kitambi kingeongezeka urefu maradufuHahahh mkubwa kabisa kaka, ila tuu Ana Mapenzi ya dhati Sanaa
Umewah ongea na Mwanamke mpka akatoa chozi ? Yani anaku'feel tu ile
ila wapo wanawake wanaowez nijibu nyodo [emoji28]