Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Mzee huyo mwanamke ni narcissist...Huwa wana power ya ushawishi na kurudisha watu katika dimbwi la mateso ya kihisia.

Ushaona mtu anakutesa wee kisha ukitaka kuondoka anajiliza na kujifanya mwema na anajutia makosa yake. Ukianza kujenga trust tu anakuvuruga upya tena. Thats the type of woman you are messing with. Chukua mtoto kisha tia block kimbia mazima usigeuke nyuma mtoto peleka hata kwa bibi yake.
Dawa ya narcissist nikumuondolea attention na kumgeuza yeye kituko huwa wanaumia mara mbili zaidi. Mimi huwa hawanipi shida kuwanyoosha wengi huwa nawapatia....

Narcissist mjulie tu nini anapenda umeshamaliza.... Kile kitu mabacho unajua hakuna mtu mwingine ataweza mpa kirahisi.
 
Dah unaoataje nafasi ya kurevenge halafu unaitumia vibaya hivyo.....

Huyo unamkubalia anarudi kuwa na wewe, then siku moja unatafuta demu pisi kali mdangaji unamuomba aje maskani saa sita za usiku. Mpange kabisa kuwa upo na mwanamke unataka kumpa shida kidogo.

Avae kikorofi ile ya kutamanisha utamu nje. Then wewe siku hiyo mtengenezee mazingira demu wako mlale mapema sana saa tatu au nne hivi.

Akifika unamfungulia, then unampokea na deep sloppy kiss moja ambalo halikatishwi hata na mlipuko wa bomu. Unafunga mlango wa chumbani ufunguo unatoa katika kitasa. Unapanda na yule demu kitandani mnaaza kupeana kazi nzito wazi wazi bila kuogopa.

Yaani yeye muwe kama hamumuoni. Unapiga mashine ile kiugwadu na huyo demu aonyeshe ushirikiano..... Demu wako akitaka kuleta fujo unamtuliza then unaendelea kutoa mgegedo..... Unamwambia hebu tulia wakati najiongeza na huyu anae nipenda..... Tulia mbwa wewe nakwambia....
We fala japo director wa james bond kafa ila unafaa kwa hio nafasi. Hii inaitwa mateso bila chuki 😂😂😂 kikubwa amwambie kama anaweza awajoin ila asilete kero otherwise abebe kilicho chake asepe.
 
Dawa ya narcissist nikumuondolea attention na kumgeuza yeye kituko huwa wanaumia mara mbili zaidi. Mimi huwa hawanipi shida kuwanyoosha wengi huwa nawapatia....

Narcissist mjulie tu nini anapenda umeshamaliza.... Kile kitu mabacho unajua hakuna mtu mwingine ataweza mpa kirahisi.
Unaanza kumburuza yeye sasa 😂😂😂 narcissist anapagawa ukimpora attention tu.
 
Huko unakoenda ni kujiokotea matatizo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] unapooendwa tulia!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua jinsi alivyo na lile jibu sijamuelewa mpaka leo, Ni muungwana wakutosha yule hafanani na lile jibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua jinsi alivyo na lile jibu sijamuelewa mpaka leo, Ni muungwana wakutosha yule hafanani na lile jibu
Hahahah kwamba jitahidi kidogo atakutunuku sio 😂😂😂!
 
We fala japo director wa james bond kafa ila unafaa kwa hio nafasi. Hii inaitwa mateso bila chuki [emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa amwambie kama anaweza awajoin ila asilete kero otherwise abebe kilicho chake asepe.
Hakuna kusepa hapo hadi asubuhi ndio atatoka. Aone kila litalojiri.

Unajua wanawake wa siku hizi tunawachekea sana. Usipokuwa mtata, wanakuchukulia hauna madhara, dawa ni kuwa na vitu wanataka halafu kutokujari hisia wanakupa.

Maana visa vyao ni vya wazi wazi kabisa...... Wanatafutiza matatizo hawajui nini maana ya utulivu katika mahusiano.
 
Mimi niliambiwa "we mwanaume gani bahili hivyo? Leo ni week imekata tokea nimtemee mbali.
Na unakuta hauna hela kweli. Aiseee hii kitu huwa inauma sana. Yaani mtu hajui vyanzo vyako vya mapato vipoje, hajui unaishi vipi mjini, ila anataka akisema naomba 50,000 utoe on the spot, ukiwa hauna basi wewe ni bahiri haumpendi yeye.
 
Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Tatizo ulikuwa unaishi kwake ulifeli mzee baba,
 
Hakuna kusepa hapo hadi asubuhi ndio atatoka. Aone kila litalojiri.

Unajua wanawake wa siku hizi tunawachekea sana. Usipokuwa mtata, wanakuchukulia hauna madhara, dawa ni kuwa na vitu wanataka halafu kutokujari hisia wanakupa.

Maana visa vyao ni vya wazi wazi kabisa...... Wanatafutiza matatizo hawajui nini maana ya utulivu katika mahusiano.
Hahaha wao hawanaga huruma kabisa 😂😂😂 anakupiga matukio ya uchi kabisa!!!
 
Na unakuta hauna hela kweli. Aiseee hii kitu huwa inauma sana. Yaani mtu hajui vyanzo vyako vya mapato vipoje, hajui unaishi vipi mjini, ila anataka akisema naomba 50,000 utoe on the spot, ukiwa hauna basi wewe ni bahiri haumpendi yeye.
Kabisa mkuu. Mtu unamfanyia mambo mengi, unamnunulia vingi mwisho siku moja anakuomba 20,000 unamwambia sina hiyo kwa leo, labda nikupe kwanza nusu yake. Anakuita bahili...
 
Na ukiona mwanamke anakuonyesha ukosefu wa adabu kwa kuongea na wanaume wengine mbele yako bila tahadhari basi jua huyo ameshajiweka kuwa goma la wote na yupo hapo kwaajiri ya open fucking kwa yoyote atae muonyesha interest.
Jamaa yetu anatakiwa kujiongeza mapema dili dilisha hili
 
Na unakuta hauna hela kweli. Aiseee hii kitu huwa inauma sana. Yaani mtu hajui vyanzo vyako vya mapato vipoje, hajui unaishi vipi mjini, ila anataka akisema naomba 50,000 utoe on the spot, ukiwa hauna basi wewe ni bahiri haumpendi yeye.
Hawa viumbe bana, kuna msemo mmoja nilikuwa napenda kuutumia kwa wahuni wangu tukiwa chuo...

"Hommies is over hoes"
au
"Niggaz is over hoes"

Incase tuna ratiba ya pamoja halafu manzi kaingilia ratiba huwa nam cancel tu! Wahuni kwanza mwanamke baadae. Hii ilijenga spirit ya wanaume kuthaminiana zaidi. Demu anapigwa sound ila wahuni lazma ratiba ziendelee.😂
 
Unaanza kumburuza yeye sasa [emoji23][emoji23][emoji23] narcissist anapagawa ukimpora attention tu.
Yeah kabisa. Ukishaona tu mwanamke anakutolea kauli za ajabu ambazo zinaonyesha kuwa hakujali na anakuona kuwa wewe ni for granted, wewe jifanye mnyonge na mnyenyekevu then muingize katika kumi na nane yako kisha una mbadilikia......

Kuna brother, alikuwa amekutana na mwanamke wa sampuli hiyo, jamaa akawa mpole sana. Kumbe ameanza mahusano na rafiki ya huyo dada kwa siri na ameshamwambia shida za rafiki yake.

Unajua kuna ile hali mkeo anakuwa na rafiki yake unakuja mjua umeshaanza na mkeo tayari. Sasa mkeo awe na matabia ya ajabu hadi rafiki yake anajua na ameshaona kuwa wewe ni mtu poa sana sema tu mkeo hajui bahati aliyonayo kuwa na wewe.

Jamaa ameshakaa na mwanamke miaka kadhaa kumbe alikuwa anayapanga maisha na rafiki wa mkewe wakafanya maandalizi mengi sana nje ya mkewe kujua.

Kuna siku mwanamke mke wa jamaa kama kawaida yake akamtolea zile kauli za ondoka kama unaona nakukera na hakuna mwanamke atakuwa na wewe, jamaa akaona isiwe shida akaamua kuondoka tu siku moja kimya kimya akahamia makazi mapya na huyo mwanamke.

Na maisha yakaenda poa tu. Siku ziakenda demu anakuja kujua jamaa ana mtoto na mwenzake na maisha ni safi tu..... Akajiribu wafanyia fujo ila wapi ndio ikawa tamati yake.
 
Hawa viumbe bana, kuna msemo mmoja nilikuwa napenda kuutumia kwa wahuni wangu tukiwa chuo...

"Hommies is over hoes"
au
"Niggaz is over hoes"

Incase tuna ratiba ya pamoja halafu manzi kaingilia ratiba huwa nam cancel tu! Wahuni kwanza mwanamke baadae. Hii ilijenga spirit ya wanaume kuthaminiana zaidi. Demu anapigwa sound ila wahuni lazma ratiba ziendelee.[emoji23]
Mwanamke wa kumsikiliza ni mke wa ndoa tu na ni yule anaekuelewa wewe kama wewe. Hawa waliobakia sio wa kuwapa attention hata kidogo.
 
Back
Top Bottom