Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidemu kinakwambia kinataka mtu aliye serious wakati chenyewe hata shughuli ya kufanya hakina [emoji23][emoji23][emoji23]
"Kama mimi unanipa hichi ki-laki mbili na nusu chako, sasa hao wanawake zako wengine si utawapa zaidi"
Unaenda mbele kama unarudi nyuma
Mpaka leo huwa najitafakari na hili neno
huyo mzazi mwezio atakua ni police, maana ndo tabia zao, na police wanagongeka sana na police wenzao, nimekaa nao sana, na ninawajua vizuri na nimewala sana, tena wakiwa wameolewa, hawanaga aibu kushea bwana.Hahaaa ni mtumishi mkuu na hajapata uhamisho mkuu mi nko Dar
Kuna watu bila kulalamika siku haiendi vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema wewe mama! Naona tu wanavyokaa wanaambizana uongo wanaoujua utafikiri wanatujua kuliko sisi tunavyojijua wenyewe!
Afadhali hakuna wanawake waliocomment kujitetea na hizi tuhuma maana tumeshaizoea hiyo jinsia kwa kutupia lawama jinsia yetu tu hawajambo! Waache waendelee kulalamika humu halafu tuone watafikia suluhisho lipi!
Ilikua kwenye simu halafu niko chimbo sina hela nikaamua nimkope jamaa yangu amtumie,baada ya hapo nilikata mawasiliano,nika block namba zote maisha yanaendelea. Kuna kutoa kwa aina mbili kwa wanawake, kuna mwanaume anatoa kwa sababu anazo lakini pia kuna mwingine hata kama hana atakopa ili mtu wake atatue shida zake. Sisi wa hili kundi la pili huwa haui appreciated kabisa.Aiseee, ulichukua hatua gani!
huyo mzazi mwezio atakua ni police, maana ndo tabia zao, na police wanagongeka sana na police wenzao, nimekaa nao sana, na ninawajua vizuri na nimewala sana, tena wakiwa wameolewa, hawanaga aibu kushea bwana.
Yaani pale tu Mungu alipomuuliza Adam kwanini umekula tunda na Adam akajibu, "NI HUYU MWANAMKE ULIYENIPA NDIYE ALIYENISHAWISHI" (wakati alikuwa na uwezo wa kulikataa lile tunda) hapo ndipo matatizo yalipoanzia.Kuna watu bila kulalamika siku haiendi vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Baby tuandamane"
Nilikosa pozi.
😂😂😂 Duh..hiyo hatariiDah unaoataje nafasi ya kurevenge halafu unaitumia vibaya hivyo.....
Huyo unamkubalia anarudi kuwa na wewe, then siku moja unatafuta demu pisi kali mdangaji unamuomba aje maskani saa sita za usiku. Mpange kabisa kuwa upo na mwanamke unataka kumpa shida kidogo.
Avae kikorofi ile ya kutamanisha utamu nje. Then wewe siku hiyo mtengenezee mazingira demu wako mlale mapema sana saa tatu au nne hivi.
Akifika unamfungulia, then unampokea na deep sloppy kiss moja ambalo halikatishwi hata na mlipuko wa bomu. Unafunga mlango wa chumbani ufunguo unatoa katika kitasa. Unapanda na yule demu kitandani mnaaza kupeana kazi nzito wazi wazi bila kuogopa.
Yaani yeye muwe kama hamumuoni. Unapiga mashine ile kiugwadu na huyo demu aonyeshe ushirikiano..... Demu wako akitaka kuleta fujo unamtuliza then unaendelea kutoa mgegedo..... Unamwambia hebu tulia wakati najiongeza na huyu anae nipenda..... Tulia mbwa wewe nakwambia....
duuMi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"Yaani mb0.0 yako kabla sijakutana na wewe sikufikiria kuna mwanaume yuko hivyo. Ni ndogo sana"
Nilinywea feelings mpaka pvmbu.