Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani pale tu Mungu alipomuuliza Adam kwanini umekula tunda na Adam akajibu, "NI HUYU MWANAMKE ULIYENIPA NDIYE ALIYENISHAWISHI" (wakati alikuwa na uwezo wa kulikataa lile tunda) hapo ndipo matatizo yalipoanzia.
Ikawa kuanzia hapo kila baya linalotokea hapa duniani hususani kwenye mahusiano ya kimapenzi au ndoa kina Adam lazima waseme wanawake ndiyo chanzo, hata kama kuna vingine chanzo ni wao wenyewe hilo hawakubali wao siku zote huwa wanajiona wako innocent na wataendelea kutuona wanawake ndiyo wabaya hadi mwisho wa dahari kwa sababu ilianzia kwa Adam.
Eti ndipo matatizo yalipoanzia.
Naona tu jinsi wanavyotulaumu humu[emoji23][emoji23]