Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Because that sounds ridiculous to me! Kiasi kwamba siwezi hata liongelea mbele za watu wenye akili timamu. Naona aibu!
Halafu mamii kukaa kimya haimaanishi hujui ila ni aina flani ya busara tum
Wow seriously? Mbona kuna maneno mengine mengi tu ya ajabu kuliko hayo ambayo umeshayabwabwaja tena zaidi ya mara moja?
 
Hawa wanaojifanya kufuraisha wanaume huishiwa kuuliwa kabisa au kuwa walemavu wakudumu
Haki ya nani tena! And yet mwanamke akichoka manyanyaso akaondoka wanaume wanakuja hapa kusema huyo mwanamke hana uvumilivu yaani badala ya kumshutumu mwanaume mwenzao kwanini anamnyanyasa mwanamke wanamshutumu mwanamke kwanini kashindwa kuvumilia hayo manyanyaso!
 
We ni muongo muongo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe kupiga kazi pale home non stop usichukulie Kama Ni udikteta hicho ndo kilikuketa kwangu...! Piga Kazi mwanzo mwisho

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 

Ooh.. now i get u.
Sometimes huwa naamini mtu huexpress feelings zake katika convos kama hivi.
Kama unawasemea wengine ni sawa.

On the contrary hakuna mahali nasema mwanaume aprovoke mwanamke. Hapana. NazungumIa nafasi ya mwanaume na pia ya mwanamke. Hasa katika jamii zetu za kiafrica. Kuwa submissive haimaanishi uwe mistreated. Lazima kila mtu awe na limits. Unapokua mistreated inaondoa upendo. Kama hapajengeki u walk away. Kwann ukae mahali unaumizwa?
Tukubaliane kwamba mwanaume ana nafasi yake na ana majukumu yake. Kila mru aplay role yake. Mwanaume kama hatimizi majukumu yake na mwanamke kama hatimizi majukumu yake basi tukubaliane kuna shida. Na kama hayahengeki u call it a day.
 
Mwanamke ambaye yuko generous hana character hizi kabisa. Halafu umekazania mwanaume kama hali kwa jasho lake wewe ina maana siku zote ulikuwa unawalisha ma boyfriend zako tu? Maana sio kwa uchungu huu!
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii topic iache... hii mada ya kulipiwa bills iache kabisa.

Ila najiulizaga shida ni nn juu ya hili.

Majibu yangu niliyopata ni:

1. Mwanaume kutokua na mapenz na mwanamke wake. Hakuna mapenz kbs. Hapa anaemda kuspend na mwingine.

2. Enzi hizo wazazi wetu walikia hawasomi sana. Wanaanza kupambana na maisha. Ile ilikua inawajengea congidence sana wanakua wanajimudu mapema. Yet wanaume mbona si kwamba walikia hata na hela nyingi na hawakuogopa maisha? Kidogo hicho hicho wanaweza pambana na kuhudumia familia.

3. Mabadiliko ya nyakati. Unakuta watoto tunakaa sana nyumbani. Pia shule. Kwahiyo baada ya kuhitimu ndo uoga unazidi na hivi mfumo wetu uko juu ya elimu ya kuajiriwa ndo kabisa.


Ila narudi pale juu.. na mapenzi. Mtu akikupenda atafight kwa kadiri ya uwezo wake
 
Nimesoma tena, nimefikia hapa, hot convo though!

Niliambiwa, "hata ukiondoka kwani wewe ndio wa kwanza kunitafuna, watakuja wengine nao wataondoka"

Nikajisemea "holla to me"[emoji23][emoji23] kumbe nimekalia kiti cha daladala, ngoja kituo kinachofata nishuke. Mwaka mmoja kabla ya kuoa nikakutana nae nikajisemea ngoja nikalie kiti cha daladala tena kwa muda mfupi manake yule mtoto alikuwa mtamu wali maharage unasubiri.
 
Ukiona unakuwa abused una haki ya kusepa. Watu wanakuwa judgmental sababu ishu nyingi zinakuja kama one sided stories! Na mara zote wanawake wanakuwa wanabebwa hata ukienda ustawi😝
 
Hahahah we jamaa ni nazi kweli😝😝😝 kwahio ukapasha kiporo kidogo.
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Yani tatizo Hawa unaowajibu Wana individual conflict rohoni kwao hata uwaeleze vip washajiwekea kua hawatakaa waelewe wanakuja na mada zao badae Wana anza kuzi criticise wenyewe wamekaza shingo
 
Ku provide sio hisani ila kinachotushangaza ni kwamba nyie watoto wa sikuhizi ndio mnaona kama kuwaheshimu wanaume zenu kama kuwafanyia favour hivi ndo maana mnakomaa na kushindana nao...eti ooh asiponifanyia hivi namie vile sifanyi. Mnaendaga deep na kuanza kubana ngenya mkihisi mtamkomoa mtu aanze kubembelezea kitobo wakati ameshapewa leseni ya matumizi toka madhabahuni.

Mambo ya kishamba kweli, yani kumfanyia jambo special mpenzi wako mpaka kuwe na condition flani. Af unategemea mume akupende! For what!
 
Ungefanyaje mkuu, nilipewa bure nikala bure nikaondoka mkuu. Wife atanisamehe coz then tulikuwa bado marafiki, halafu alikuwa ananinyima...ningefanyaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah hio haina budi😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…