Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Wow!!

You are a gem! And I mean it.

A woman who doesn’t ask for anything, deserves everything.

Sikumbuki mara ya mwisho kumsikia mdada akisema kama ulivyosema wewe hapo.

Kuna wadada wanakera. Yaani mnakutana leo, kesho mwenzio anaanza kukuorodheshea shida zake:

1. Naomba nilipie ada ya chuo
2. Naomba ninunulie simu
3. Naomba hela nikatengeneze nywele
4. Wengine hadi nauli za kupandia bajaji wanaomba!

Kuombaomba ni aibu. Ni fedheha.

Please accept my compliment because it’s genuine.

[emoji817]%.
Thank you bro. I appreciate this.

Mie pesa za mwanaume hazijawahi kunibabaisha hata siku moja! I'm always proud and happy when it comes to paying my own bills!
 
Hivi mtu asie mchoyo anabaguaga watu wa kuwapa na kutowapa? Mtu mwenye roho ya kimasikini ndio huwa na shida hizo hasa. Hawa ndio wale akikunulia saa ya buku 3 akakupa anajisifu i made you Kevin[emoji23][emoji23][emoji23]!
Ila toka umemjua you spent millions on her. Zawadi hadi aombe hela ya kukununulia sababu ni mchungu kinoma.
Wewe unaweza ukampa pesa mwanamke mjeuri na mbishi? Basi hata sisi hatuwezi kuwapa pesa wanaume malaya na wanyanyasaji!
 
We hujiulizi kwanini ndoa siku hizi hazidumu na zinazodumu ziko hai bin taaban?
Simple tu, wanaume wa siku hizi AKILI hakuna kabisa.
Huwa napenda sana kuutumia huu msemo na niliutoa kwako! Uliwahi kusema "ifike mahala wanaume wenye akili tu ndiyo waoe"!

Huo msemo una maana kubwa sana! Sababu siku hizi mtu akishakuwa na uume tu akaanza kuota ndevu na mavuzi anajiona na yeye ni mwanaume na anafaa kuoa mwanamke mwenye sifa nzuri hapo ndipo shida inapoanzia!
 
Niwe kahaba for who and for what? I love me so much and I am way better than kuwa kahaba!

Mnasema mwanamke ni mwanamke tu mbona wakitumia viungo vyao vya siri kwa kadri wanavyojisikia huwa mnaumia ninyi? Nilitegemea wataumia wao kwanza right?
Teh..... eti viungo vyenu
 
Nshaombwaga misamaha a million times before sijakung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.

Tangu hapo nilitambua mwanamke ni mtu wa aina gani na jinsi ya ku deal nae. Harsh reality!
HalAfu Mimi nikizinguliwaga huwa sirudi nyuma kwa kweli yaani nachapa lapa fasta sana .

Maana unaweza jifanya unakomaa nao kumbe unakuja pata matatizo ya ajabu ajabu .

Kuwa watu wa nuksi hawastahili kuwa kwenye maisha yako wakikupa RED FLAG fasta sana Ni kuchapa lapa [emoji2][emoji1787][emoji3577]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unamkomoa nani? Yaani wewe kumhudumia mkeo unaona kama umemfanyia hisani ndiyo maana unataka kumpelekesha kama punda tu si ndiyo?

Nasikitika hamzijui akili za wanawake nyie tunavyojifanya mafala mnadhani sisi ni mafala kweli! Mwanamke akiamua kulipa kisasi hata shetani anakaa pembeni kuchukua mafunzo!
Hakuna mwanamke
 
Ningekupa shuhuda hapa za wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao na mwisho wa siku walichokuja kuwafanyia waume zao hao wanaume walijuta! Ila nitaandika tu magazeti hapa kwa watu ambao hamna lolote zaidi ya kujitutumua tu humu!

Kiufupi mwanamke akiamua kukufanyia lolote baya anakufanyia tu tena bila hata kutumia nguvu hilo kubali ukatae! Sasa wewe oa mwanamke halafu kamfanyie hayo wala sikukatazi wewe nenda kamfanyie hayo unayoyaandika humu halafu time will tell!
Kwani mwanaume hawezi kumfanyia mwanamke Jambo baya.

Nani nakwambia kufanya Jambo bayo kunategemea jinsia?

Yule aliemchoma MKE wake kwa gunia za mkaa kigamboni hakuwa mwanaume ?

Yule aliemuua MKE wake kimara hakuwa mwanaume?


Tulia wewe. Njoo na facts za kueleweka.

Nyie ndio wale wanawake ndoa zimewashinda mnataka na wanawake wengine ndio ziwashinde.
 
Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Omba MUNGU mwanao asiwe kilaza[emoji2]
InShot_20201107_202810990.jpg


Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mwanaume hawezi kumfanyia mwanamke Jambo baya.

Nani nakwambia kufanya Jambo bayo kunategemea jinsia?

Yule aliemchoma MKE wake kwa gunia za mkaa kigamboni hakuwa mwanaume ?

Yule aliemuua MKE wake kimara hakuwa mwanaume?


Tulia wewe. Njoo na facts za kueleweka.

Nyie ndio wale wanawake ndoa zimewashinda mnataka na wanawake wengine ndio ziwashinde.
Hayo mnayoyafanya ninyi yamezoeleka! Mwanamke anaweza akafanya jambo dunia ikabaki inashangaa ila ya wanaume wala hayashangazi tena sababu tumeyazoea!
 
Hamna tusi baya kama linalohusisha manhood! Au mwanamke umtukanie hedhi 😂😂😂 atakuchukia hadi siku ya mwisho. Ndio tusi pekee linaweza kumfunga mdomo mtoto wa kike chap kwa ukali 😂😂😂
Hebu jaribu nione kama itauma
 
Huwa napenda sana kuutumia huu msemo na niliutoa kwako! Uliwahi kusema "ifike mahala wanaume wenye akili tu ndiyo waoe"!

Huo msemo una maana kubwa sana! Sababu siku hizi mtu akishakuwa na uume tu akaanza kuota ndevu na mavuzi anajiona na yeye ni mwanaume na anafaa kuoa mwanamke mwenye sifa nzuri hapo ndipo shida inapoanzia!
[emoji23][emoji23][emoji23] na wanaume wenye uume tu bila akili ndio wengi sikuhizi, na hata hyo zamani hawakuwepo ni vile walizoea kukandamiza wanawake, sasa sikuhizi Nani wakuvumilia ujinga wa mwanaume suruali aisee?
 
Back
Top Bottom