Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
"Umeingiza au bado"?
Wakati nimezamisha hadi mwisho
Wakati nimezamisha hadi mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatua tu zinachukuliwa chap kwa mwendo wa ngiri 😂😂😂Mwanamke anayekuwekea ultimatum au conditions ili akupe mzigo aisee nikiona hizi dalili ni chap kwa haraka namreplace. Hata kama nimeoa. She needs to be put in her place.
Tupambane kote ila sio kwenye vikojoleo. Kichwa cha chini hakina ubongo wa kujua right & wrong kinajaaga damu tu sasa ukikikorofisha balaa lake hutaliweza.
Teh[emoji114][emoji114]Kwa uwezo wowote ule i make the rules she has to abide to them.
Show show yani chap kwa haraka. Maana najua siku nikikosea nikakulilia kubembeleza mzigo au nikatimiza conditions zako unipe ndio napotea mazima nakuwa mtumwa wa kitobo chako.Ni hatua tu zinachukuliwa chap kwa mwendo wa ngiri [emoji23][emoji23][emoji23]
Anayo mayai yanayoitwa shahawaMwanaume hawezi kuwa na mayai bibie, Labda ulitaka kusema hana mbegu hai!?
Yeye wakuta Hana hata sifa moja njema, Ila anataka mwanamke mwenye tabia nzuri, na mtu hupata mtu wa kufanana nayeSi ndio hapo sasa! Mi nashangaa sijui na mwanaume wa hovyo anapata wapi ujasiri wa kusema anataka mwanamke mwenye sifa za mke sijui anataka ambebeshe mtoto wa nani huo mzigo na mbaya zaidi hataki kubadilika!
Sio twajihesabia haki ukitaka mwanamke mwema hakikisha na wewe mwanaume una maadili yote ya kiume na kibusaraKwahio mnajihesabia haki kabisa
Katika yote ambayo nimejaribu kuwarekebisha still mmekuwa na guts za kuongelea busara. Aisee kweli mshakuwa mashinidikanaaSio twajihesabia haki ukitaka mwanamke mwema hakikisha na wewe mwanaume una maadili yote ya kiume na kibusara
Hahaaaa hatujashindikana sio wewe una hadhi ya vitz huku wataka range rover hayo si matusi jamani, na kumbuka ndege wafananao huruka pamojaKatika yote ambayo nimejaribu kuwarekebisha still mmekuwa na guts za kuongelea busara. Aisee kweli mshakuwa mashinidikanaa
Hahaaa tairi kipara ni nini?Hahahahah sawa bana ila atlest situmii tairi kipara kama hizo zenu [emoji23]
Kutokuwa zoba haimaanishi uwe komando John Cenna uanze kufanyia mazoezi ya ngumi mwili wa mwanamke.Wenzio wanaona kama wanakuwa bullied eti. Mi ni yule baba ambaye sipendagi ujinga. Naitwaga dikteta humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!! Hv wenzangu mnawezaje kusamehe mwanamke aliyekuacha live kisa mwanaume mwenzio?kuna kauli sio mbaya ni laini kabisa ila huwa zinapasua moyo wa mtu,chunga sana kuzisikia.
niliambiwa hivi na binti mzuri sana niliyempenda"mkorinto najua unanipenda sana,lakini mimi nampenda zaidi fulani uliyemuweka profile whatsapp"
hiyo ni baada ya kushika simu yake siku kama mbili hivi nyuma na kukuta akimbembeleza mlamba lipsi mmoja hivi mwenye sura ya dada yake,mbaya zaidi jamaa hakuonyesha kubabaika kabisa na demu kama ambavyo mjuba nasafa[emoji1][emoji1][emoji1],aisee usisikie.nikawa nahisi maini yanatoka,huyo jamaa ndio huyo alimuweka kwenye profile,nilimuelewa alichoniambia.
nikasema wacha nikae kando nisome mchezo,miezi kama 7 hivi nashangaa mtu huyooo,mbona kimya nowerdays,nikamjibu niko bussy tu,vipi HB wako hajambo???akajibu achana naye tuzungunze yetu,nikamjibu una bahati mwanzo ulikuwa mkweli napenda watu wakweli,ingawa tulikuja achana kwa sababu nyingine.nikaoa sijui yeye yukoje aliko hope mambo ni slope pia kwake.
Nilivorud bongo kwa Mara nyingine nikamvuta hotel tukakaa Kama wk iv akiwa anatumikia adhabu na kwa bahat mbaya akashika mimba nami nikamkomoa hapo hapo nikampa vipande vyake ndo ukawa mwisho wa stor mm na yeye
Mimi akishaweka neno "kama wewe ni mwanaume kweli." Nampiga mpaka achakae[emoji35][emoji35] ajue tu kuwa wanawake wanapenda kufanana na sisi ila mwanaume huwezi kupenda uwe kama wao.Hahaaa that's how they are... anaweza kukujaribu akisema nipige... nipige sasa kama we mwanaume kweli... yaani some are full of dramas kwa kweli...