Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Mwanamke anayekuwekea ultimatum au conditions ili akupe mzigo aisee nikiona hizi dalili ni chap kwa haraka namreplace. Hata kama nimeoa. She needs to be put in her place.

Tupambane kote ila sio kwenye vikojoleo. Kichwa cha chini hakina ubongo wa kujua right & wrong kinajaaga damu tu sasa ukikikorofisha balaa lake hutaliweza.
Ni hatua tu zinachukuliwa chap kwa mwendo wa ngiri 😂😂😂
 
Ukiwa na uwezo wa kudunduliza sawa. Ila uwezo wa kiuchumi ukipanda tu, utasikia analalamika unamnyanyasa
Kwa uwezo wowote ule i make the rules she has to abide to them.
 
Si ndio hapo sasa! Mi nashangaa sijui na mwanaume wa hovyo anapata wapi ujasiri wa kusema anataka mwanamke mwenye sifa za mke sijui anataka ambebeshe mtoto wa nani huo mzigo na mbaya zaidi hataki kubadilika!
Yeye wakuta Hana hata sifa moja njema, Ila anataka mwanamke mwenye tabia nzuri, na mtu hupata mtu wa kufanana naye
 
Sio twajihesabia haki ukitaka mwanamke mwema hakikisha na wewe mwanaume una maadili yote ya kiume na kibusara
Katika yote ambayo nimejaribu kuwarekebisha still mmekuwa na guts za kuongelea busara. Aisee kweli mshakuwa mashinidikanaa
 
Katika yote ambayo nimejaribu kuwarekebisha still mmekuwa na guts za kuongelea busara. Aisee kweli mshakuwa mashinidikanaa
Hahaaaa hatujashindikana sio wewe una hadhi ya vitz huku wataka range rover hayo si matusi jamani, na kumbuka ndege wafananao huruka pamoja
 
Hahaaaa hatujashindikana sio wewe una hadhi ya vitz huku wataka range rover hayo si matusi jamani, na kumbuka ndege wafananao huruka pamoja
Hahahahah sawa bana ila atlest situmii tairi kipara kama hizo zenu 😂
 
Wenzio wanaona kama wanakuwa bullied eti. Mi ni yule baba ambaye sipendagi ujinga. Naitwaga dikteta humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutokuwa zoba haimaanishi uwe komando John Cenna uanze kufanyia mazoezi ya ngumi mwili wa mwanamke.
Wanakuita dikteta maana ni muumini wa kupiga.
 
kuna kauli sio mbaya ni laini kabisa ila huwa zinapasua moyo wa mtu,chunga sana kuzisikia.

niliambiwa hivi na binti mzuri sana niliyempenda"mkorinto najua unanipenda sana,lakini mimi nampenda zaidi fulani uliyemuweka profile whatsapp"
hiyo ni baada ya kushika simu yake siku kama mbili hivi nyuma na kukuta akimbembeleza mlamba lipsi mmoja hivi mwenye sura ya dada yake,mbaya zaidi jamaa hakuonyesha kubabaika kabisa na demu kama ambavyo mjuba nasafa[emoji1][emoji1][emoji1],aisee usisikie.nikawa nahisi maini yanatoka,huyo jamaa ndio huyo alimuweka kwenye profile,nilimuelewa alichoniambia.

nikasema wacha nikae kando nisome mchezo,miezi kama 7 hivi nashangaa mtu huyooo,mbona kimya nowerdays,nikamjibu niko bussy tu,vipi HB wako hajambo???akajibu achana naye tuzungunze yetu,nikamjibu una bahati mwanzo ulikuwa mkweli napenda watu wakweli,ingawa tulikuja achana kwa sababu nyingine.nikaoa sijui yeye yukoje aliko hope mambo ni slope pia kwake.
Dah!! Hv wenzangu mnawezaje kusamehe mwanamke aliyekuacha live kisa mwanaume mwenzio?
 
Nilivorud bongo kwa Mara nyingine nikamvuta hotel tukakaa Kama wk iv akiwa anatumikia adhabu na kwa bahat mbaya akashika mimba nami nikamkomoa hapo hapo nikampa vipande vyake ndo ukawa mwisho wa stor mm na yeye

Mkuu, hii mimba aliishika hapohapo hotelini? Na ukagundua mkiwa hapohapo? Na ukampima hapohapo? Sikatai kuwa alibeba mimba, ila nitashangaa kuwa ulijua ana mimba ndani ya wiki moja bila hata kupima.

Kingine kama ni kweli alibeba mimba yako na ukamfanyia hivo, ulimkosea mwanao na sio huyo mwanamke.
 
Hahaaa that's how they are... anaweza kukujaribu akisema nipige... nipige sasa kama we mwanaume kweli... yaani some are full of dramas kwa kweli...
Mimi akishaweka neno "kama wewe ni mwanaume kweli." Nampiga mpaka achakae[emoji35][emoji35] ajue tu kuwa wanawake wanapenda kufanana na sisi ila mwanaume huwezi kupenda uwe kama wao.
 
Back
Top Bottom