Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage

Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.

Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:

"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"

"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"

"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"

"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"

"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"
"Mbona wenzako huwa wanafanya vizuri"
 
Daah, aisee, kuna takataka iliniambiaga nimeamua tuu kuwa single kwa sasa hadi baadae so niachane nae and i had to promise her that i will be okey, after a month ananitafuta ananiambia eti ameamua arudi kwenye mahusiano anaomba nimsamehe turudiane, nilimtafutia wayahudi watano wamfire sema pesa ilipelea hawakuja, makalio yake huyu mbwa wa kiiraqw
 
Mkoa gani Boss
 
Oooh nimekusoma ndio yule ulieenda nae babati akiwa anakunywa juicy huku anawaangalia watu wengine kama hawana maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah, aisee, kuna takataka iliniambiaga nimeamua tuu kuwa single kwa sasa hadi baadae so niachane nae and i had to promise her that i will be okey, after a month ananitafuta ananiambia eti ameamua arudi kwenye mahusiano anaomba nimsamehe turudiane, nilimtafutia wayahudi watano wamfire sema pesa ilipelea hawakuja, makalio yake huyu mbwa wa kiiraqw
Faza una matukio!! Fain umelipa!?
 
Aisee...
 
MKE wangu was ndoa alinimbia hamna ulicho fanya Cha maana Toka niolewe na wewe huoni wenzako hizo hela za matumizi Nina uwezo wa kujihudumia na mwanangu nasubiri akue ni ondoke na akikua nitamwambia baba ako alikufa K wewe Mimi nimepinda kuliko wewe malaya huwezi kunifanya chochote nanguo zako utafua mwenyewe.sijui nimerogwa sija mfanya chochote Wala kumjibu wiki Sasa najifuria nguo yakula na mwachia kwa ajili ya mtoto nakula mgahawani Kuna huruma inanijia mwachie mungu ata mjibu ila naumia sana najijua nikimpiga naweza kumpoteza hasira zangu acha tuu nikimwambia chukua nauli nenda kwenu hataki
Mimi napitia situation km yako
Nilichofanya ni kumdanganya nimepata dharula mkoa hivyo ameenda kwao halafu nikafunga nyumba

Now nishamwambia simtaki japo ana mimba , ndio najipanga nikirudi nimkabili vipi.....ni mkorifi balaa
 
Pole kwa maswahibu mkuu.. Naomba nikuulize, Je wakati wa uchumba kabla hamjaanza kuishi wote hukuonaga dalili zozote za hizo tabia kwa mwanamke wako ? Au ulizionaga ukahisi atabadilika ? @Bitoz
 
MKE wangu was ndoa alinimbia hamna ulicho fanya Cha maana Toka niolewe na wewe huoni wenzako hizo hela za matumizi Nina uwezo wa kujihudumia na mwanangu nasubiri akue ni ondoke na akikua nitamwambia baba ako alikufa K wewe Mimi nimepinda kuliko wewe malaya huwezi kunifanya chochote nanguo zako utafua mwenyewe.sijui nimerogwa sija mfanya chochote Wala kumjibu wiki Sasa najifuria nguo yakula na mwachia kwa ajili ya mtoto nakula mgahawani Kuna huruma inanijia mwachie mungu ata mjibu ila naumia sana najijua nikimpiga naweza kumpoteza hasira zangu acha tuu nikimwambia chukua nauli nenda kwenu hataki

Pole kwa maswahibu mkuu.. Naomba nikuulize, Je wakati wa uchumba kabla hamjaanza kuishi wote hukuonaga dalili zozote za hizo tabia kwa mwanamke wako ? Au ulizionaga ukahisi atabadilika ? Au ulikuwa unamuonya ? @faustincheyo
 
Back
Top Bottom