Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Oooh nimekusoma ndio yule ulieenda nae babati akiwa anakunywa juicy huku anawaangalia watu wengine kama hawana maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Eti kama hawana maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Karma
 

“I don’t care about your feelings, mimi naangalia makubaliano yetu”[emoji2358]
 
Baada ya miezi miwili ya mahusiano "Naona vyombo ulivyotumia vinanisubiri mm nivioshe"

Nikajidai sijasikia.

Wiki mbili baadae, "hizo nguo nje mpaka mm ndo nikaanue".

Nikaenda anua. Baada ya kunyanduana weekend nzima j3 alipotoka nikaita fundi akabadilisha vitasa vya mlango. Nguo zake zilizokuepo nikazitundika kwenye kamba nje then "nikasafiri" zaidi ya wiki nikabadili na namba ya simu.

Tulionana baada ya miaka miwili, ndo akaniambia tangu aanze kudate mahusiano yake hayajawahi dumu zaidi ya miezi sita. Nikamweleza madhaifu yake, akawa anabishabisha pale ila akaja kuelewa. Akanipa na 'zawadi' kwa kumfungua macho.
 
He he....apo kwenye swala la kuweka nguo zake kwenye kamba ulicheza kama gaucho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…