Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Mkuu, mimi niliwahi kutamkiwa hiyo ya mwisho, nafikiri inahitaji uvumilivu tu kuishi na wanawake.
Mkuu niliwahi tamkiwa " MASKINI WAKUBWA NYIE"
Siku iliyofuata nikatafuta dalali nikauza gari niliyomnunulia.

Nikamsafirisha akasalimie wazazi wake, halafu nikauza salon na wafanyakazi wake

Aliporudi kawa mama wa nyumbani apike apakue ale na watoto wake.

Tajiri mkubwa hata genge la nyanya kashindwa kufungua
 
Safi sana
 
Mwanaume unafanya kazi huchafuki? Inatakiwa utafute kazi za kuchafuka ndo utapata hela kwanza umasikini wako ni wa kujitakia ukiamua kua tajiri utakua ukiamua kua masikini niwewe tu Ila Mimi maisha haya ya umasikini kwetu hatujazoea.....
Haya maneno nilitamkiwa na Yule mwanamke nlietaka kumuoa, nilimtafakari nikamuelewa nikamwambia nenda kwenu ntakuja kujitambulisha alivoenda nikapiga chini kimya kimya nikafuata ushauri wake!! Nikaanza kutafuta pesa kwa uchungu miaka 2 baadae nkaoa Ila Yule mshenzi alinipa funzo kubwa Sana saiv maisha ni at least kuliko yalivokua mwanzo.
 
Huna wa kumlaumu ulistahili kwakweli
Mtu kakuchiti, akatuma picha za uchi na eti ukarudisha moyo nyuma eti hutaki tafran 🤣

Sina huruma na wewe, u deserved it!
 
🤣🤣🤣🤣🤣Ety alinambia nina kichwa kama ubuyu.
 
Aliniambia "I am not including you in my plans" and i was like what?? popote ulipo ulishajenga ghorofa?? [emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…